Mjasiriamali wa Kuigwa

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
23,838
27,730
April 18, 2016

Nimependa mjasiriamali huyu ambaye anatoa maelezo mazuri kuhusu fani yake ili uweze kujiunga na aina yake ya ujasiriamali kama unafikiri unaipenda.

Wito kwa Wajasiriamali wa fani mbalimbali iwe ufundi wa eletroniki, kilimo, uvuvi, biashara n.k mnatakiwa kuja na maelezo yanayoeleweka na kutupia video clip youtube ili kusaidia wa-Tanzania kujiongezea kipato cha ziada.

Sasa tumtazame mjasiriamali Mwl.Peter G. Kitembe akitoa maelezo ya mkulima mfugaji
Kuku wa Chotara sehemu ya pili

Source: Mkulima Mfugaji wa youtube


Kuku Chotara sehemu ya kwanza
Source: Mkulima Mfugaji wa youtube
 
Je.... kwa wale tunaohitaji idea?

Mimi nimevutia na ''presentation'' ya Mwl. Peter .G. Kitembe ingawa binafsi suala la mkulima-mfugaji siyo anga yangu lakini kama nilivyo mpongeza Mwl. Peter Kitembe, nina shauku ya kuona wadau wa sekta mbali mbali za ujasiriamali wakija wamejitayarisha vizuri kwa maelezo ya kina kupitia uwakilishi wa mada/ kujitangaza kwa audio-visual kama video clips.
 
Mungu akubariki Teacherrrrrrrrrrrrrrrrr
Haya ndio mambo tunayotaka kwa vijana.
Mwalimmzuri ni yule aliepitia kazi husika,unastahiki
Hembu wekeni Contacts zake wahusika
 
Back
Top Bottom