Mjane kupokea pension ya mumewe

Mjane kupokea pension ya mumewe

jonas255

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2013
Posts
225
Reaction score
112
Baba yangu alikua Mtumishi wa Ualimu idara ya elimu msingi kwa miaka mingi mpaka alipostaafu rasmi utumishi serikalini 2016 baada ya kuitumikia serikali kwa miaka 37

Baada ya kustaafu ilimchukua miezi kumi akapewa kiinua mgongo takribani 79 million lakini bado alikua akipewa penshen ya tsh laki tano kwa mwezi(500000) Mwaka jana mwezi january alifariki dunia.

Naomba kujua kama mjane wa marehemu anaweza kuendelea kupata asilimia flani ya kiasi(pensheni) alichokua anapokea marehemu
 
Atapata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anastahili kuchukua na sheria imeweka ukomo wa miaka ambayo mama natakiwa kupokea pensionj lkn sikumbuki ni miaka mingapi. wanaokumbuka wataitoa hapa.
 
Hastahili kupokea, mstaafu akifariki ndio huwa mwisho wa kupikea penshen ya kila mwezi. Na ndio maana huwa wanafanya uhakiki kila baada ya miezi 6 kama cjakosea. Kwa hiyo uhakiki ukifanyika tu ndio bye bye bi mkubwa hatapokea penshen tena. Wanaoendeleaga kupokea penshrn ya kila mwezi ni wajane wa mtumishi aliyefariki akiwa kazini na ameacha watoto chini ya miaka 18 au 21 akiwa anasoma na ameitumika si chini ya miaka 15.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa sheria ya zamani ile pensheni ya kila mwezi hutolewa kwa Mstaafu husika tu Kwa hii sheria mpya inaoneka mstaafu akifariki basi wategemezi huenda wakaendelea kupokea hiyo pensheni hebu tusubiri ikamilike marekebisho mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoa hoja ana hoja ya msingi. Pamoja na kuwa Serikali haiwezi kwa sasa kutoa Pensheni ya kila mwezi kwa mjane wake ni vyema sasa Serikali ikapitia upya sheria ya Wastaafu ili pindi Baba wa mji anapofariki na ameacha mke na watoto basi pensheni ya kila mwezi ihamishwe kwa mjane na watoto ili imsogeze huyu mjane kusomesha watoto. Watumishi wengi hasa walimu wake zao ni wamama wa nyumbani na hivyo Baba akitoka duniani hiyo familia inapata shida sana kimaisha.
 
Hapa kunatakiwa kuangalia msingi wa dhana ya pensheni kwa mtumishi mstaafu. Pensheni siyo malipo kwa familia bali kipozeo cha maisha kwa mtumishi aliyestaafu iwapo anaendelea kuishi. Tofauti na pensheni, mafao ya kustaafu ni malipo [haki] mahsusi kwa mtumishi anayestaafu na mstaafu huyo ana haki ya/anaweza kurithisha haki hiyo kwa wategemezi wake, lakini siyo pensheni. Mstaafu akifariki malipo ya pensheni hukoma/hupashwa kukoma siku hiyo kwa kuwa mlengwa [mahsusi] amefariki.
 
Kwa sheria ya zamani ile pensheni ya kila mwezi hutolewa kwa Mstaafu husika tu Kwa hii sheria mpya inaoneka mstaafu akifariki basi wategemezi huenda wakaendelea kupokea hiyo pensheni hebu tusubiri ikamilike marekebisho mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ambayo kimsingi mkuu wa kaya alitoa agizo iendelee kutumika sheria ya sasa hivyo hata mjane nae sio mnufaika hata kama itapitishwa maana marehemu amefariki kabla ya sheria mpya
 
Kama ana cheti cha ndoa unastahili kupokea

Sent using Jamii Forums mobile app
hakuna kitu kama hicho,ndio maana kila mwanzoni ma mwaka msaatafu hutakiwa kuripoti kwenye mfuko wa hifadhi ya jamii ili waone kama bado yu hai!!kama akitoka kulipoti akafa basi hapo mtaendelea kuichukua hiyo pension ya kila mwezi kama mnaijua password yake ya bank,hadi hapo muda wa kulipoti tena utakapofika ndio mwisho wenu!!kwani asipoenda kuripoti hawatoi pesa hiyo.
 
Hastahili kupokea, mstaafu akifariki ndio huwa mwisho wa kupikea penshen ya kila mwezi. Na ndio maana huwa wanafanya uhakiki kila baada ya miezi 6 kama cjakosea. Kwa hiyo uhakiki ukifanyika tu ndio bye bye bi mkubwa hatapokea penshen tena. Wanaoendeleaga kupokea penshrn ya kila mwezi ni wajane wa mtumishi aliyefariki akiwa kazini na ameacha watoto chini ya miaka 18 au 21 akiwa anasoma na ameitumika si chini ya miaka 15.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hastahili kupokea, mstaafu akifariki ndio huwa mwisho wa kupikea penshen ya kila mwezi. Na ndio maana huwa wanafanya uhakiki kila baada ya miezi 6 kama cjakosea. Kwa hiyo uhakiki ukifanyika tu ndio bye bye bi mkubwa hatapokea penshen tena. Wanaoendeleaga kupokea penshrn ya kila mwezi ni wajane wa mtumishi aliyefariki akiwa kazini na ameacha watoto chini ya miaka 18 au 21 akiwa anasoma na ameitumika si chini ya miaka 15.

Sent using Jamii Forums mobile app
uhakiki ni kila january lazima huyo mstaafu akaripoti wamuone kama yu hai!!
 
... how wakati beneficiary ameshatangulia mbele ya haki? Angekuwa bado hajamaliziwa kiinua mgongo chake (hiyo 79 m.) hapo sawa angelipwa salio lakini pensheni ya kila mwezi? Tusitiane matumaini hewa.
Mke au Mume halali wa ndoa hulipwa pensheni ya marehemu mmewe/mkewe hadi na yeye atakapofariki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mke au Mume halali wa ndoa hulipwa pensheni ya marehemu mmewe/mkewe hadi na yeye atakapofariki

Sent using Jamii Forums mobile app
... thanks for clarification. Suppose wote ni wastaafu na kila mmoja ana pensheni yake. Je, mmoja akitangulia inakuwaje? Aliyebaki atalipwa yake kama kawaida na ya mwenzake aliyefariki? Ufafanuzi tafadhali.
 
Hapa kunatakiwa kuangalia msingi wa dhana ya pensheni kwa mtumishi mstaafu. Pensheni siyo malipo kwa familia bali kipozeo cha maisha kwa mtumishi aliyestaafu iwapo anaendelea kuishi. Tofauti na pensheni, mafao ya kustaafu ni malipo [haki] mahsusi kwa mtumishi anayestaafu na mstaafu huyo ana haki ya/anaweza kurithisha haki hiyo kwa wategemezi wake, lakini siyo pensheni. Mstaafu akifariki malipo ya pensheni hukoma/hupashwa kukoma siku hiyo kwa kuwa mlengwa [mahsusi] amefariki.
Uko vizuri mkuu
 
Baba yangu alikua Mtumishi wa Ualimu idara ya elimu msingi kwa miaka mingi mpaka alipostaafu rasmi utumishi serikalini 2016 baada ya kuitumikia serikali kwa miaka 37

Baada ya kustaafu ilimchukua miezi kumi akapewa kiinua mgongo takribani 79 million lakini bado alikua akipewa penshen ya tsh laki tano kwa mwezi(500000) Mwaka jana mwezi january alifariki dunia.

Naomba kujua kama mjane wa marehemu anaweza kuendelea kupata asilimia flani ya kiasi(pensheni) alichokua anapokea marehemu
Cha kwanza kabisa andaeni mukhasari wa familia, pili fungueni mirathi, tatu fuatilieni death certificate, ila mirathi huwezi kufunguwa mpaka upate death certificate kwanz, hivi vyote ukikamilisha mama akafunguwe madai ya death grants atapewa fomu na maelekezo ya viambatanisho vingine lakini hivyo nilivyokueleza ni lazima, then atalipwa miezi 36 na calculation nyingine wataziweka humo, kwa kifupi atalipwa zaidi ya millioini 20.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom