Mimi nilisafiri kwa bus Shabiby kutoka Dar adi Dodoma,
Nilikua na week 37.
Ila baada ya kufika Dodoma na kwenda hospital, pressure ukawa juu na nikaanzishiwa uchungu.
Nikajifungua kabla ya makadilio na nikaambulia kisu kuokoa maisha yetu.
Kwa uzoefu huu,sikushauri pia