Mjamzito wa miezi 9 anaweza kusafiri?

Mjamzito wa miezi 9 anaweza kusafiri?

Magufuli wakati anasema tujenge SGR mlipinga hadi mkatoka nje ya bunge kenge nyie.

Haya nenda umpandishe treni ya SGR ni masaa 3 tu yupo Dom
 
Wazazi wetu wakipindi kile walikua wanatoka shamba wanaenda kujifungua. Wale ndio walikua wanajifungua kama wanawake wa kiebrania🤣🤣 ila Sisi wa siku hizi mimba ya miezi minne tu, tunaamka saa nane mchana. Kumsafirisha wa miezi Tisa unataka kuzika watu? 😌
 
Wewe mwenyewe tu umesita na hilo wazo lako hadi ukaja humu,.

Msimsumbue huyo mama kija,. Hizo dharura tafuteni namna nyingine za kuzifix
 
Back
Top Bottom