Illuminata Rodgers
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 2,845
- 2,030
Habarini wana JF,
Hivi ni sababu ipi ambayo hupelekea binti akiwa mjamzito kumchukia mpenzi wake ambaye ndiye baba mtarajiwa, yani unakuta anamchukia na kupanic mara kwa mara juu yake pia hamu ya kusex anakua hana kabisa na hata hisia na mpenzi wake zinakua hamna hata kidogo, tatizo linakua ni nini hapo?