Mgirik
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 13,271
- 13,430
Soma vzr nilichokiandika nmesema Mara nyingi na waliowengi..Mmh si kweli kwani wajawazto wote wanapenda kugegedwa
Hapo namaanisha sio yote
Soma vzr nilichokiandika nmesema Mara nyingi na waliowengi..Mmh si kweli kwani wajawazto wote wanapenda kugegedwa
Ila jambo la msingi achanganye na zake..Wacha weee
Halafu sijajua mrejesho wako mkuu.. Vp?Usijal mimba huja tofauti kwa kila MTU.. Mweningine anataka umgegede mwingine hataki mgegedo kabisa.. Vumilia tu
Okay,nimekuelewa.Soma vzr nilichokiandika nmesema Mara nyingi na waliowengi..
Hapo namaanisha sio yote
Nimeshakuwa mamaHalafu sijajua mrejesho wako mkuu.. Vp?
Aisee hongera sana mkuu halafu nishapoteza contact hebu niwekeeNimeshakuwa mama
Ndio maana ulipotea? Hongera kwa kuleta kiumbe duniani mkuu.Nimeshakuwa mama
Ilibak kidogo ndoa yangu kuvunjika kwasababu ya kumchukia mume wangu kipind cha ujauzitoHabarini wana JF,
Hivi ni sababu ipi ambayo hupelekea binti akiwa mjamzito kumchukia mpenzi wake ambaye ndiye baba mtarajiwa, yani unakuta anamchukia na kupanic mara kwa mara juu yake pia hamu ya kusex anakua hana kabisa na hata hisia na mpenzi wake zinakua hamna hata kidogo, tatizo linakua ni nini hapo?
Hongera sanaaa,vipi umetuletea baby girl or baby boy?Nimeshakuwa mama
Aiseeeee,ko hata mgegedo ulikua hupendi au ulimchukia lakini mgegedo ulikua unampa?Ilibak kidogo ndoa yangu kuvunjika kwasababu ya kumchukia mume wangu kipind cha ujauzito
Pesa ni ishu nyingine mkuuMbona hawachukii pesa
Asante mkuu ..Baby boyHongera sanaaa,vipi umetuletea baby girl or baby boy?
Hongera sana mkuuAsante mkuu ..Baby boy