Mjadala

Mjadala

kenlick00

Member
Joined
Dec 29, 2016
Posts
45
Reaction score
5
Iv tcu kwa nn wasiwe wanapanga minimum entry za vyuo vikuu kabla ata watu husika hawajafanya mitihan ,kwan iv kupanga kila mwaka na baada ya mitihan hua inaumiza sana wanafunz kama mwaka jana princple ilikua e ikapandishwa mpaka D Tena mbili,kwa mwaka huu tena wamebadli hasa kwa afya et uwe una atleast D Tena ya phy na zngne uwe una c tena wakaongeza na point 8 of all subjects iv huon inakua inawaumiza hasa pcb maana phy n shda na weng hawalikomalii sana kwa vigezo ivo c weng watakosa maana average weng ufaulu wao n E na je kama mtu akapata ECC inakuaje apo na mtu anataka kusoma MD au phamarcy

Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
 
Iv tcu kwa nn wasiwe wanapanga minimum entry za vyuo vikuu kabla ata watu husika hawajafanya mitihan ,kwan iv kupanga kila mwaka na baada ya mitihan hua inaumiza sana wanafunz kama mwaka jana princple ilikua e ikapandishwa mpaka D Tena mbili,kwa mwaka huu tena wamebadli hasa kwa afya et uwe una atleast D Tena ya phy na zngne uwe una c tena wakaongeza na point 8 of all subjects iv huon inakua inawaumiza hasa pcb maana phy n shda na weng hawalikomalii sana kwa vigezo ivo c weng watakosa maana average weng ufaulu wao n E na je kama mtu akapata ECC inakuaje apo na mtu anataka kusoma MD au phamarcy au ndo malengo yatakua yamepotea ivooo

Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
 
Iv tcu kwa nn wasiwe wanapanga minimum entry za vyuo vikuu kabla ata watu husika hawajafanya mitihan ,kwan iv kupanga kila mwaka na baada ya mitihan hua inaumiza sana wanafunz kama mwaka jana princple ilikua e ikapandishwa mpaka D Tena mbili,kwa mwaka huu tena wamebadli hasa kwa afya et uwe una atleast D Tena ya phy na zngne uwe una c tena wakaongeza na point 8 of all subjects iv huon inakua inawaumiza hasa pcb maana phy n shda na weng hawalikomalii sana kwa vigezo ivo c weng watakosa maana average weng ufaulu wao n E na je kama mtu akapata ECC inakuaje apo na mtu anataka kusoma MD au phamarcy

Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app

Unatakiwa ulenge mwezi na jua ili ukikosa utue kwenye nyota na mambo yawe shkopa
 
Sawa ila tcu inatakiwa iwe systematic na mambo yakeee

Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
 
Na kwa nn kila mwaka wanarekebisha minimum entries

Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
 
mm TCU nimeshawaelewa
wanachokifanya niku reduce number ya watakaoenda chuo kikuu
na hata hao wachache watakao fanikiwa kwenda bs serikali imewaekea mipaka ya kusomea vitu fulan
so kwa sasa inabd madogo wawe na plan b mapema

sent from aifoni seveni plasi
 
Back
Top Bottom