Wanawake asilimia kubwa wanajiuza hata walioko kwenye ndoa.🔥
Kuna kauli imeibua mjadala mzito:
Mtu hakupatiwa mapenzi kwa wiki mbili hadi aliponunua iPhone! 😳
Swali ni hili👇
Je, mapenzi ndani ya ndoa yanapaswa kuwa na masharti?
👉 Je, ni sawa kusema: “Nifanyie hiki ndipo upate mapenzi”?
👉 Au hii ni dalili ya mapenzi kubadilika kuwa biashara?
👉 Je, zawadi zinapaswa kuwa sehemu ya “exchange” ya mapenzi?
💭 Wengine wanasema:
✔ Ni haki kudai kuthaminiwa (hata kwa vitu)
✔ Ni njia ya kuonyesha value yako
Lakini wengine wanapinga vikali:
❌ Mapenzi si bidhaa ya kununua
❌ Hii inaua hisia za kweli na kuleta presha
❌ Inaondoa heshima ya ndoa
🔥 SASA NI ZAMU YAKO:
Wewe unaonaje?
Ni sahihi kuweka masharti kwenye mapenzi au huu ni mwanzo wa kuharibu mahusiano?
👇 Drop maoni yako hapa, tusikie pande zote!
Wanajiuzia wapi? Natafuta soko silioni..Wanawake asilimia kubwa wanajiuza hata walioko kwenye ndoa.
Mkuu huyu mahodaw apenda nipate hata nyuzi zake
Naona unajitoa ufahamu 😀 SeranWanajiuzia wapi? Natafuta soko silioni..
Kwanini uombe simu ya almost 4M ndo utoe unyumba? That's means it is transactional then, it can be bought.Wanajiuzia wapi? Natafuta soko silioni..
Nimeombwa iPhone 17 Pro Max, ilhali mie natumia Xiamoni 😂😂 huwa kama wanavuta bangee hawa watu.. ila hata hivyo mapenzi siku hizi yamekuwa kama biashara tu, nipe nikupe au nihudumie nikupe bure bure hupewi makuKwanini uombe simu ya almost 4M ndo utoe unyumba? That's means it is transactional then, it can be bought.
Kama ni kukulana tu kila mtu anaenda zake unaweza kutoa kama uchumi wako unaruhusu. Lakini fikiria unapewa hiyo condition na mke wako wa ndoa!!!Nimeombwa iPhone 17 Pro Max, ilhali mie natumia Xiamoni 😂😂 huwa kama wanavuta bangee hawa watu.. ila hata hivyo mapenzi siku hizi yamekuwa kama biashara tu, nipe nikupe au nihudumie nikupe bure bure hupewi maku
Huku mtaani wenzio wanakuomba uwe unamlipia rejesho wewe unalala nayo tuWanajiuzia wapi? Natafuta soko silioni..
Kiufupi mwanamke anatakiwa kutunzwa, ila kutunzwa kwao wanatumia kama gap , ndipo wanapo haribuKama ni kukulana tu kila mtu anaenda zake unaweza kutoa kama uchumi wako unaruhusu. Lakini fikiria unapewa hiyo condition na mke wako wa ndoa!!!
Ndoa ni biashara tangu mwanzo wa pdocess yake. Mahari ni pesa ama vitu vya thamani.Kwanini uombe simu ya almost 4M ndo utoe unyumba? That's means it is transactional then, it can be bought.
Kwasababu hatuna any chemistry na unaniomba unyumba kivipi?Kwanini uombe simu ya almost 4M ndo utoe unyumba? That's means it is transactional then, it can be bought.
Alafu atakuambia kakosa mahali ya laki3 tu🔥
Kuna kauli imeibua mjadala mzito:
Mtu hakupatiwa mapenzi kwa wiki mbili hadi aliponunua iPhone! 😳
Swali ni hili👇
Je, mapenzi ndani ya ndoa yanapaswa kuwa na masharti?
👉 Je, ni sawa kusema: “Nifanyie hiki ndipo upate mapenzi”?
👉 Au hii ni dalili ya mapenzi kubadilika kuwa biashara?
👉 Je, zawadi zinapaswa kuwa sehemu ya “exchange” ya mapenzi?
💭 Wengine wanasema:
✔ Ni haki kudai kuthaminiwa (hata kwa vitu)
✔ Ni njia ya kuonyesha value yako
Lakini wengine wanapinga vikali:
❌ Mapenzi si bidhaa ya kununua
❌ Hii inaua hisia za kweli na kuleta presha
❌ Inaondoa heshima ya ndoa
🔥 SASA NI ZAMU YAKO:
Wewe unaonaje?
Ni sahihi kuweka masharti kwenye mapenzi au huu ni mwanzo wa kuharibu mahusiano?
👇 Drop maoni yako hapa, tusikie pande zote!