Rosemarym Mwakitwange
Member
- Sep 10, 2016
- 63
- 170
Ninafuatilia mjadala kuhusu mgogoro wa CUF na ruzuku unaorushwa na STAR TV, Mwanza yuko Kambaya, host in Mwanza hakujiandaa hawajua CUF, kuwa they are very smart. Kambaya anawaburuza ile mbaya na ndio anayewaambia nini cha kufanya. Kukosekana Julius Mtatiro Studio is a very big minus, ni vigumu kwa main speaker kushiriki kwa kutumia simu, you only do that with commentaries, watu wanaoingia kujibu au kutoa taarifa maalumu tu, sio kushiriki mjadala. Julius is on air na ameanza kwa upole which is good, otherwise this could be total war. Acha tuone kinachoendelea. Cuf Lipumba wamebonda swala zima la Ukawa na Nafasi ya Mtatiro kama mwenyekiti wa kamati maalumu kuwa haiko kwenye katiba ni rubbish. Kambaya kesha watoe nje ya mjadala hawataweza kumkaba juu ya kama katiba inasema kuwa kiongozi anayejiuzulu kwa hiari anaweza pia kurudia nafasi yake kwa hiari wakati wowote anaotaka yeye