Mjadala wa Bunge: Wanahabari, Edwin Soko na Moses Mathew warushiana maneno makali studio za Star TV

Yeyevni mwandishi wa Daily News..

Kuna tofauti gani kati ya daily news na tbc?.

Lazima mr.Moses aishi ktk misingi ya bosi wake(serikali)

Huu ni ukweli kabisa maa ni sawa na kumtoa Kasisi Kanisani umpeleke kwenye Mdahalo kisha umwekeke kwenye kundi lenye mada ya kulipinga Kanisa, Unadhani nini kitatokea???????????????????????????????????????????? Mheshimiwa admin naomba kuwakilisha
 
Katika Hali Isiyokuwa Ya Kawaida Waandishi Wa Habari Mmoja Akiwa Ni Mwandamizi Moses Mathew Wa Gazeti La Serikali La Daily News Na Mwandishi Mwenzake Mmoja Ambaye Huwa Anajinasibu Kuwa Ni Mchambuzi Wa Habari Comrade Wangu Kabisa Edwin Soko.

Tatizo Lililopelekea Hadi WAANDISHI HAWA WAWILI MARAFIKI Na Ambao Ni WATANI PIA ( KIKABILA ) Ni Baada Ya Wote WAWILI Kuonyesha Dhahiri Kuwa Wanatoka Ktk HOJA ZA MSINGI Kuhusu Mada Ya TBC Kutoonyesha " Live " Matangazo Ya Bunge Ambapo Wawili Hao ILA HASA HASA Comrade Wangu Edwin Soko Kuonyesha Bila Aibu Kuwa ANAUTETEA MNO UPINZANI KWA HATUA ZAO ZA KIPUUZI ZA KUTOKA NJE YA BUNGE ILI KUSHINIKIZA BUNGE KUONYESHA LIVE MATANGAZO YA BUNGE.

Edwin Soko Hakuishia Tu Hapo Baadae Akaenda Mbele Na Kumchana Mwenzie Kuwa Yeye Ni KIBARAKA WA CCM Na Mganga Njaa Tu Hali Ambayo Ilipelekea Mwandishi Moses Mathew Kutaka Kumpa Mtu NGUMI ZA UHAKIKA Ila Mtangazaji Mwongozaji Boniface Mapuri ALIWEZA Kuwazuia Japo Kimtindo Nilimwona Kwa Mbali Kama Vile Edwin Soko AMESHAUMUKA USONI Nahisi Kuna Kangumi Alipigwa Ka Kiaina. Na Mwishoni Mwandishi ALIYENIVUTIA Leo Moses Mathew Akamtaka Mtangazaji Namnukuu "TAFADHALI SIKU NYINGINE UKINIALIKA STUDIO USINILETEE VICHAA KAMA HAWA ".

Ila Kiukweli Edwin Soko Ameyataka Mwenyewe Kwani Yeye Muda Wote Badala Tu Ya Kujenga HOJA Yeye Kazi Ni Kuitetea Tu UKAWA Na Hasa Hasa CHADEMA Na Bahati Mbaya Leo Kakutana Na MWANAMUME Moses Mathew Ambaye ALITAKA KUMWADABISHA.

Binafsi NAMLAUMU KUNAKOTUKUKA Mtangazaji Mwongozaji Kwa Kitendo Chake Cha KUZUIA TUSIONE MPAMBANO ULE MTAMU Na Kama Huyu Mwandishi Edwin Soko ASIPOBADILIKA Na Hii Tabia Yake Ya Kila Anapoalikwa Kufanya UCHAMBUZI Ktk Tv Kwa Kuonyesha MAPENZI YAKE DHAHIRI KWA CHADEMA Kuna Siku ATAKUTANA NA Mtu Mwingine ATAMUHARIBU USO WAKE KABISA Na Labda Nitoe RAI Kwa CHADEMA au UKAWA Kuwa Kama Mnaweza ANZISHENI REDIO Na TV Yenu ILI MTUONDOLEE HIZI SHIDA!

Big Up Sana Moses Mathew Huyo Dogo Hakika Ataenda KUSIMULIA Huko Kwa Akina Mbowe Na Lisu Kwa Discipline ULIYOMPA.

Naona hata wewe hauko neutral kwa hiyo huna mandate ya kumsema Edwin Soko
 
Back
Top Bottom