Hizo harakat anaweza kuzifanya akiwa chini ya mkuu wa mkoa mwenye vyeti halali , yy akabaki Kama raia huru Na kuendeleza mapambano maana Kuna watu walishaanza harakati za kupambana Na madawa kabla yake Na sio viongozi wa serikali mf.KarapinaKama kuroga ni ishu na ww kamloge Magu atengue kauli yake amg'oe Makonda....Makonda ni lulu kwa vijana wa sasa hasa mateja....lazima tumuunge mkono hasa sisi wenye uchungu na nguvu kazi.
Hizo harakat anaweza kuzifanya akiwa chini ya mkuu wa mkoa mwenye vyeti halali , yy akabaki Kama raia huru Na kuendeleza mapambano maana Kuna watu walishaanza harakati za kupambana Na madawa kabla yake Na sio viongozi wa serikali mf.Karapina
Hahahaha sasa baada ya kuwataja kimefuata nini?, badala yake Ni kashfa Na fedheha zimempata..!Yaani muuza sumua anakataza sumu?.Karapina aliwataja akina nani wakuu ambao kutajwa kwao kulitetemesha nchi?.
Sema umechoka sisi hatuwezi kuchoka mpaka alete vyetiIla tumeshaichoka hii hadithi, for real
Hahahaha sasa baada ya kuwataja kimefuata nini?, badala yake Ni kashfa Na fedheha zimempata..!
Anyway nlikuwa najarbu kufikisha ujumbe kuwa kuongoza harakati hizo si lazima kuwa mkuu wa mkoa, Na hata akitumbuliwa mtaendelea kumsapot tu sisi hatutapinga harakati yoyote..!
Kikubwa Ni vyeti tu, huyo Ni kiongozi lazima awe safi..!
Hili mkuu nshalisemea kwa mara nyingi sana....hasa kwa watu kama nyie....tunaposema mtu anatumia vyeti ambavyo sio vyake we mean kasomea umakenika but anafanya kazi muhimbili na hana taaluma hiyo,Mjenzi wa makaburi anaenda kujenga madaraja hii ndo haitakiwi...kwa Makonda ni ishu ya kawaida tu....hakunaga sehemu walishaitisha interview ya ukuu wa mikoa au wa wilaya au ubunge,hii ni kuchaguliwa au kuteuliwa tu.Double standard yako haina maana hapa mkuu.
... Unaumbuka yule mteuliwa wa rais JF ilivyomtuhumu kuwa ni meneja wa hotel sinza?....JPM akamsimamisha na vyeti vyake ikulu na mjadala ukaisha.
Sasa why difficult Makonda kuweka vyeti vyake hadharani?
Basi kaa Na ww uendelea kutetea mazeroBasi kaa usubilie vyeti ya Makonda atawaleteeni.
Hapana mkuu huwezi kusema hivyo! huwezi kwa mfano ukaiba kisha ukasema kwamba, unafanya mema kwa kusaidia wasiojiweza. Kosa ni kosa hata ungetenda jema, watu waseme umetenda kosa.Mm sjaisoma yote ila nilipoona jina la makonda kutajwa tu nikajua ndo wale wale wapiga vuvuzera....hivi ata kama vyeti sio vyake na hana elimu hiyo mchango wake hauonekani?...tumekuwa na wasomi wangapi na hawajafanya lolote kwa taifa hili....tumewapeleka bunge la katiba badala ya kujadili rasimu wakatoka nje elimu yao wameitumia vipi?....Wewe kama unaona kalamu yako inakusahidia sana kawaandikie Chadema sera za kuombea kura 2020,sio cheap reason kama hii ishu ulokuja nayo....hii nchi kuishi kwa madili muache.Hatutaki madawa full stop na tunamtaka makonda full stop.
Hata Mtikila angekuwepo amshtaki isingesaidia maana haendagi police hata akiitwa wala mahakamani wala bungeni huyo anajiita Mungu wa Dar es Saalam yuko juu ya sheria zote za nchi na hakuna wa kumfanya chochote.Ninawaza kama wewe, ila sioni jukwaa huru kupata majibu ya maswali yote haya uliyouliza.
Marehemu Mtikila angekuwepo nadhani angeshafungua shauri mahakama imlazimishe Paul ahakikiki vyeti vyake kuleta utulivu nchini. Tafadhali ajitokeze msamaria mwema (wanasheria wetu) atusaidie kwenda mahakamani au sehemu inayostahili ili haki itendeke kwa mtuhumiwa na watuhumu.
Hapana mkuu huwezi kusema hivyo! huwezi kwa mfano ukaiba kisha ukasema kwamba, unafanya mema kwa kusaidia wasiojiweza. Kosa ni kosa hata ungetenda jema, watu waseme umetenda kosa.