Mjadala upi na nani aliechangia ukaelimika

Mjadala upi na nani aliechangia ukaelimika

Dunda kwetu

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2011
Posts
265
Reaction score
37
Wana JF hapa tulipo mda si mrefu ni jtatu itakuwa sio mbaya ukajumuika nami kwa kutuabarisha mjadala upi ulio faidika kwa namna moja au nyengine a.k.a uligusa hisia na kuelimika na nani alichangia kwa umakini zaidi sina maana wengine waliochangia hawakuwa makini


1.Jua haki yako unapokamatwa na Polisi,Mjadala ulirushwa na Dada Bikra
na mwana haki alichangia vizuri sana😛oa

2.Anti Lizzy alirusha mjadala ulikwenda kwa jina la Zawadi na wengi kuujadili
Je wewe una mjadala wowote 😛oa​
 
Tatizo hizi tundu za kuchemekea habari ziko karibu mno
 
Back
Top Bottom