Mjadala: Nini chanzo na tiba ya tatizo la upele kuota kwenye uume?

Gono hiyo,nenda hospital watakuandikia Sindano. Na wasiliana yule uliyegusishana nae vikojoleo nae atibiwe.Na yeye awasiliane na wote aliolala nao.Inapona hiyo.Sema baada ya miezi mitatu ukapime na ngoma.
Aisee.

Kumbe kuna magonjwa ya ajabu ya ngono kama hii. Mimi kuugua kwangu ni UTI tu.

Utakuta aliyemuambukiza lina sura mbaya hata yeye mwenyewe anaona aibu kwenda naye kwa daktari.
 
Aisee.

Kumbe kuna magonjwa ya ajabu ya ngono kama hii. Mimi kuugua kwangu ni UTI tu.

Utakuta aliyemuambukiza lina sura mbaya hata yeye mwenyewe anaona aibu kwenda naye kwa daktari.
Kwa nini unauza mechi?Hivi inakuaje mpaka unamwamini mwanaume au mwanamke hadi unakulana nae nyama kwa nyama?Wallah siwezi hata kwa nini.Sasa UTI siku utaambukiwa HIV utamlaumu nani?
 
Back
Top Bottom