GAZETI
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 5,277
- 6,673
Nafikiri wote tumejionea hali ya Klabu mpaka kufikia hapa tulipo, Kufungwa
na kukosa ubingwa si jambo la ajabu. Kwa Yanga hii jambo la ajabu na aibu
ni mazingira tuliyonayo ambayo yanatufanya tufungwe kabla hatujaingia
uwanjani.
Kwa wadau mnaofahamu siri ya klabu na wale wenye mitazamo kuhusu uendeshaji
huu ni wakati muafaka kutoa maoni yenu ili tuweze kujua Yanga inakwama wapi?
Nini kifanyike ili kuinusuru Timu yetu?
(tafadhali wanasimba hamuruhusiwi kuchangia chochote hapa)
Mwenyekiti wa muda wa mjadala huu napendekeza awe Gang Chomba.