Kentsuhcy Wrudate
JF-Expert Member
- Aug 20, 2019
- 1,075
- 677
Hii ni sheria ya Tanzania tu nafkir...Ukihishi na mwanamke zaid ya miezi sita au mwaka ni ndoa tayari sikujua una upeo mdogo hivi
Tatizo lako mmekariri ndoa mpaka msikitini au kanisani niambie christiano na mtu aliyefunga ndoa kanisan au msikitin ni ipi sababu anaishi na girlfriend wake ana lala nae yaan anafanya mambo yote sawa na mtu mwenye ndoa ya kanisani au msikitini
Sent using Jamii Forums mobile app


Asa kwani ni uongo? Ndoa inataka mwanaume mwenye akili kwan mlivyoambiwa muishi nasi kwa akili mlielewa vipi?
