Abu-Irfan
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 379
- 330
😄😄Wewe nawe usiwafokee wenzako.
Kama huna hela ya kuoa usioe, waache wenzako waoe usiwapangie.
TAFUTA HELA
😄😄Wewe nawe usiwafokee wenzako.
Kama huna hela ya kuoa usioe, waache wenzako waoe usiwapangie.
TAFUTA HELA
Hapana mkuuYaani azidi kuongeza matatizo maishani?
#YNWA
Kwahiyo wale matajiri huko nchi zilizoendelea ambao HAWAJAOA ni MASHOGA?Ukiwa shoga huwezi kutamani kuoa
Basi apambane na hali yakeWakristo huruhusiwa NDOA MOJA TU.
#YNWA
Ila wewe .....
Kabisa!Umeuma na kishoka kabisa![]()