Masamila
JF-Expert Member
- Jun 22, 2014
- 6,411
- 7,306
ndugu yake na Museveni kivipi wakati huyo Saleh ni muislam na Museveni ni mkatoliki?
Tanzania kama siyo zenji ingekuwa hivyo, sis tunabadilishana vijiti.. hiki kigingi ndiyo kinacho mshinda magu kuibaka katiba na kuwa rais wa milele wavaa kanzu moto wao mnaujuaHalafu mbali na Tanzania. Nchi nyingine zote za Afrika mashariki hazijawahi kuwa na marais waislamu. Sijajua wanakwama wapi
ndugu yake na Museveni kivipi wakati huyo Saleh ni muislam na Museveni ni mkatoliki?
General Salim Saleh (born Caleb Akandwanaho, 14 January 1960) is a high-ranking military officer in the Uganda People's Defence Force(UPDF), the armed forces of Uganda. He is a brother to the current President of Uganda, Yoweri Musevenindugu yake na Museveni kivipi wakati huyo Saleh ni muislam na Museveni ni mkatoliki?
acha uongo wako salim saleh na museven wamechangia mama, baba tofauti baba ake ni muislam. na museven ni mkristo. hivi hujui museven ana mtoto moshi na mama yake ni mchaga?General Salim Saleh (born Caleb Akandwanaho, 14 January 1960) is a high-ranking military officer in the Uganda People's Defence Force(UPDF), the armed forces of Uganda. He is a brother to the current President of Uganda, Yoweri Museveni
alibadili dini
Basi mkuu uzi ni mzuri tusiuharibu kwa malumbano yasiyo na afyanimekuuliza swali unaniambia niweke ushahidi,hukumsikiarafiki yake kagame siku anapokea bombardier ya kwanza alichosema kuhusu kuleta vijana wa IT toka Rwanda ku operate ATCL?hilo la Rwanda kuwa na office special bandarini na kahama hulijui nalo?
Nahitaji copy ya hiki kitabu, napataje?Ukurasa huohuo(73) mwandishi Marara anasema ingawa kuna watu walikufa kwenye hilo shambulizi hotelini wakiwa wanaangalia kombe la dunia, Kagame alikasirika sana sbabu halikwenda kama alivyo-plan sababu ya uzembe wa captain Kwizera liyekuwa amelewa hivyo akagiza fimbo za kutosha na alitoa Presidential Jeep yake kwenda kuchukua hizo fimbo, akwaagiza luteni Nkubito na Aimee Claude kumcharaza Kwizera fimbo 100, akashuhswa cheo na kuswekwa ndani baadaye akafukuzwa jeshini
hIYO NDO MAANA YAKESaiz yupo wapi huyo mlinzi?
Kwaio saiz PK anakuwa karibu ma Pogba magu kuna kitu anakusudia?
Dumelang
Nahitaji copy ya hiki kitabu, napataje?
hIYO NDO MAANA YAKE
Huyo pk inatakiwa apigwe marufuku ya kukanyaga bongo maana amempandikiza roho mbaya huyu mwenye bichwa ka korosho si mnaona wenyewe lilivyo na roho mbaya, sisi watanzania hatuna roho mbaya namna hiyo. Sasa pk yupo mbioni kung'olewa maana siku zake zinahesabika sasa huyu fala wetu kama hajifunzi itakula kwake.Saiz yupo wapi huyo mlinzi?
Kwaio saiz PK anakuwa karibu ma Pogba magu kuna kitu anakusudia?
Dumelang
Nahitaji copy ya hiki kitabu, napataje?
hIYO NDO MAANA YAKE
Huwa hawa ma dictator wanatumia mbinu hizo za kijifanya wanaleta maendeleo huku wakiua watu wasio na hatia.Huyu Mtu sio wa kawaida, huenda ni agent wa shetani. Ajabu anasifika kwa utawala bora na maendeleo.
acha uongo wako salim saleh na museven wamechangia mama, baba tofauti baba ake ni muislam. na museven ni mkristo. hivi hujui museven ana mtoto moshi na mama yake ni mchaga?
Jana nilitoa link ya ku download hiki kitabu, kwa ambao hawaja download ingia JF Store, wandugu naomba msome vizuri hicho kitabu baadaye turudi kwenye mjadala hapa maana niliyoyasoma yanasikitisha.
View attachment 1072722View attachment 1072723
Kumbe ndiyo maaana Museveni kamchoka,wanajuana nje ndani, na Kagame hizo tabia zake ni za hatari siye yule tunayemuona sisi, SO SAD.
Kitabu kina pages 110(hard copy)ila kwenye pc hapa inaniambia ni pages 302 ,kwenye page ya 71 tunaona kitu fulani kuhusu tabia ya Kagame(familiar )
--
--It was President Kagame himself who briefed his senior intelligence commanders to use the tactic of being friendly to those they were planning to kill, at some point they gave out sugar and salt, cooking oil and soap to the locals that our soldiers had looted from shops just to make them come out of the hiding only to be killed in the end.----
Ni kwamba mwaka 1992 katika mazungumzo ya amani Arusha,Rais Juvenal Habryimana alisema wakimbizi wa Rwanda walioko nje kurudi ni ngumu sababu hakuna ardhi ya kutosha kwa hiyo akawasambaza wahutu mipakani huko na kuwapa ardhi ili ionekane kweli pamejaa na pia sababu nyingine ilikuwa ni kuwapeleleza RPF waliokuwa wanavamia kutokea Uganda
So,trick ya Kagame ikawa ni kwenda kwenye vile vijiji na wanajeshi wake kujifanya marafiki zao wakiwapa sukari,chumvi,nguo,siku moja katika kijiji cha Kagitumba wakaitisha mkutano mkubwa wahutu wakajaa wake,waume kwa watoto,katikati ya mkutano askari wa RPF wakarusha risasi na mabomu ya kutosha wakaua maelfu ya wahutu.
Niko page ya 72 ila dah hadi hapo nilipofika jamaa aliua marafiki zake waliomsaidia kupindua nchi karibu 10 tena wenye vyeo vya juu jeshini akiwemo FRED RWIGEMA swahiba mkuu wa Museveni kiasi cha kusababisha mdogo wake Museveni meja Salim Salehe kwenda kuua mameja wawili wasio na hatia waliosingiziwa na Kagame kwa Musevni kwamba walimuua Rwigema
Jamaa alikuwa anawaogopa makamanda wa ukweli waliomtoa dikteta Habrayimana , walikuwa hawamkubali sababu hakupigana vita muda mwingi alikuwa masomoni Marekani alipopelekwa na Museveni.
Mwandishi anasema jamaa ana tabia ya kujifanya rafiki yako huku akikutafutia muda sahihi wa kufanya yake(does that sound familiar?
NAOMBA KUJUA WAPI NAEZA KUPATA KITABU HIKI?
NAOMBA KUJUA WAPI NAEZA KUPATA KITABU HIKI?
The author is savage hahahaaa