Mjadala - Kitabu cha unyama wa Paul Kagame: Behind the Presidential Curtain: Inside Out of real Paul Kagame

Hapa sasa yanatokea huku kuna kundi linaamini jiwe ni mungu mtu baadhi ya wabunge wameanza kampeni ya kumuongezea muda wanaopinga wanaitwa wasaliti jamaa anaiga mambo ya rwanda watanzania tuwe macho hapa sasa kuna funzo picha limeanza kuja
Yameibuka tena huko dodoma
 
Uthibitisho tosha kuwa Kagame Ni mentor wa Jiwe hundred pasenti na amefaulu kwenye hilo , now we are under Bahima empire .
 
Hili ndo tatizo la kufanya maendeleo huku ukikandamiza uhuru wa watu hata ya uongo utatungiwa , kwakweli mimi nilifika kigali before 1990's na late 2000's kwakweli rwanda kunavutia mabadiliko ni makubwa sanaa kosa kubwa analolifanya jamaa ni kuminya uhuru wa watu kujieleza hakuna utawala bora ndo maana washirika wake wazamani wanakokotoa yale mabaya yote aliyoyafanya kipindi cha nyuma na kuyaexpose sasa hata hivyo huyu mzee ana roho mbaya sanaa kama mzee wetu huyu sema kutokana na ukubwa wa nchii huyu huyi anashindwa ila angekuwa na kanchii ka kuzungukwa kwa lisaa kama rwanda tungesaga meno , watawala wa kiafrika bado sanaa .kagame is silent killer hana tofoute na huu wetu. Ila mungu yupo ipo siku yake.
 
Kwel
 
Kwahiyo huyu wetu amehitimu na kufuzu mafunzo adimu toka kwa jabali ibilisi mkuu , masna Hana tofauti na Lucifer Nani saikatriki kesi kabisaaa .
 
Mkuu kama una soft copy ya hichi kitabu Kagame filling filed msaada please nime download hakikubali
 
Hivi kabla hamjaanza kushangilia yaliomo kwenye hicho kitabu mnamjua aliekiandika ni nani kwanza? Huyo jama Marara kweli alikua kati kikosi cha kumlinda raisi na alikua dereva katika miaka hio ya mwishoni 90's alikua anaendesha vifaru walivhoachiwa na UN kwa ajili ya usalama wa viongozi. Kwa vile alikua uneducated young man hakua anakaa na senior officers mpaka ahadisiwe kinachoendelea. Alitimuliwa jeshini na kukimbia nchi na huko ulaya aliko anatafuta attention tu watu kwani ameshakosana na aliokimbia nao wengi huko ughaibuni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe naona ndiyo Kagame mwenyewe hutaki tupate point kwenye uzi huu sasa haahhaahaaaaaa
 
Back
Top Bottom