Wewe mwenyewe mpumbavu utawezaje kujua chochote? Chanzo cha vurugu ni hujuma za CCM na kama siyo CCM kufanya hayo kusingekuwa na hayo matatizoVyama vya upinzani mmesahau yale mavurugu mliokua mkifanya kwenye vituo vya kupigia kura na kuhonga au kutoa rushwa kwa wasimamizi wa uchaguzi.
Je mlishawahi kukemea hayo mambo ya uchafuzi wa uchaguzi?
Sasahivi mnabwekabweka kumbe ni mbwa Koko.
Wabunge mliowachagua wameishia kuwakimbia,maana mlihamasishana kwa uzalendo wa kunywa viroba
Sasa huu ni upinzani au upumbavu[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]
Wizi wa mali za umma kwenye ununuzi wa Ndege kuna ufisadi wa kutisha ndiyo maana wameamua kumtoa kafara CAGCCM haina imani tena na wananchi.
Kwa sasa iko busy kunyanyasa raia walioiweka madarakani.
CCM wengi wana wivu wenyewe kwa wenyewe, kuna vita ya ndani dhidi ya CCM wanufaika wa mfumo kandamizi wa demokrasia na CCM kindaki ndaki wasionufaika na Teuzi wala Dili za ununuzi Ndege, chato Airport, reli, flyover na madili makubwa makubwa na kibaya hawapo hata kwenye Kamati ya Ufundi ya Naibu Rais Daud Bashite iliyosheheni wapika majungu akina cyprian Musiba na mleta waganga wa kienyeji toka mataifa mbalimbali kubwa jinga Le mutuz, CCM wengi wana hasira na kikundi kidogo ndani ya CCM kinachofaidi keki ya Taifa huku wao wengi wakitaabika kwa njoo kali.Chama kilikuwa kinaishi kwa kutegemea mizizi yake ya muda mrefu ingawa majani yalishaanza kupotea. Jembe kutoka Chato likalima ile mizizi.
Hakuna Mtanzania mwenye Akili timamu anaweza kuipigia CCM kura kwa sasaccm inaelewa wazi kuwa bila hila, mapolisi, nec, usalama, ma-dc na ma-ded uchaguzi huru ukifanyika asbh mchana kweupe itakuwa imeshapigwa chini.
Hakika umekuja na hoja fikirishi kwa kuwa maswali hayo yanalenga upande mwingine wa vyama vya siasa na viongozi wake. Du!!!Wakuu Habari ya jioni.
Napenda kuwakaribisha katika mjadala huru,ili kufahamu hasa nini kinachoendelea ndani ya chama kongwe Afrika.
Nimejaribu kujiuliza maswali na wala sipati jibu..
Je ni nini imekikumba cha cha mapinduzi mara baada ya mwenyekiti taifa JPM kuchukua uongozi..
Mana ukitazama haya yanayofanyika sasa ni ya kustaajabisha.
Je ni kukosa sera..?
Je ni chuki binafs dhidi ya wapinzani..?
Je ni kushindwa kuaminiwa na wananchi hivyo kutumia ubabe..?
Je ni nia ya kubadili siasa za nchi kutoka za kidomekrasia kwenda katika mlengo mwingine..?
Ni nini hasa lililo nyumba na aina hizi za siasa.
Je ni kutaka kutawala milele tena kwa mabavu..?
Je ni kuuaminisha wananchi na jumuiya za kimataifa kua inapendwa na hakuna chama cha kisiasa mbadala..?
Kimsingi najaribu kujiuliza nakosa jibu.
Karibuni kwa mjadala huru.
#MaendeleHayanaChama
Historia ya jiwe akiwa mbunge alikuwa anapita bila kupingwa. Mara zote alikuwa anahakikisha wapinzani wake wanakwama njiani. You can imagine figusi anazofanya sasa akiwa kama mwenyekiti wa chama.Wananchi tumekosa imani na huyu jiwe
Swissme
Wewe kama sio maiti basi ubongo wako ushaoza, ulichokiandika ni maushuzi tuVyama vya upinzani mmesahau yale mavurugu mliokua mkifanya kwenye vituo vya kupigia kura na kuhonga au kutoa rushwa kwa wasimamizi wa uchaguzi.
Je mlishawahi kukemea hayo mambo ya uchafuzi wa uchaguzi?
Sasahivi mnabwekabweka kumbe ni mbwa Koko.
Wabunge mliowachagua wameishia kuwakimbia,maana mlihamasishana kwa uzalendo wa kunywa viroba
Sasa huu ni upinzani au upumbavu[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]
Mjadala huru: Je, ni nini imekikumba Chama Cha Mapinduzi?
Hata mimi sina imani na mpora kura na mteua viti maalum kutawala kwa nguvu!!!Wananchi wepi mkuu? Kwanini mnapenda kutujumuisha wote? Sema "Mimi Swissme" nimekosa imani...! Au hujiamini bibie?
OK. Kwahiyo?Hata mimi sina imani na mpora kura na mteua viti maalum kutawala kwa nguvu!!!