said rashid
JF-Expert Member
- Jul 11, 2011
- 203
- 113
Nilikuwa stationary jioni hii napata huduma, kagiza kalivyoingia ingia mara tu akaingia jamaa mmoja njemba kwa full confidence na mwendo wa fasta hadi kwa dada muhudumu. Akatoa buku akampa dada huku akiweka sura ya ukauzu macho chini kisha "nipe condom pakiti moja, zile zenye vipele vipele!". Sikumbuki hata walimalizana vipi, nilibaki na kicheko tu