kengele maziwa
JF-Expert Member
- Jun 1, 2015
- 435
- 650
Mkuu ungeoa usingepata shida hiyo mkeo ndo angeenda sokoni kaka but all in all hii chai ya maziwa
Mi jana nimepigwa mzinga wa buku 60.
Mademu malofa sana!
Daah juzi nimepigwaa mzinga wa 20 dadekii afuu leo yule manzi analeta nyodooo...!! Falaa sanaaa yuleeee.... Wanawakee wotee malayaaa tuu..
Mmh wote wale wale.....Tongoza mademu wa kishua.
Madem choka mbaya ni majanga.
Me huwa najiuliza hiv kabla hujamtongoza alikuwa anaishije? Maana ukishakuwa nae mizinga inafululizaHaa ha ha...umetoa mkuu!??? Daah kazi ipooo mpaka.naogopa kutongozaa hada wadada wazuriii
hahahah!!Ndo maana nasema wanaume wote tushaenda peponi imebaki kunyakuliwa tu
Me nlimtongozaa demu dogo alinambia wa kishuaa... eehe baada ya week nkasikiaa Beib naomba hela ya nywelee..!! Kama nlirudi tenaaa..Mmh wote wale wale.....
Ila nimecheka sana uzi huu