Muke Ya Muzungu
JF-Expert Member
- Jun 17, 2009
- 3,444
- 264
Kwa wale mnaofatilia maswala ya kisiasa, nadhani mmejiuliza ni kwanini kijana February Ma-ropes amekuwa kimbelembele sana, yaani amekuwa kama ndiye waziri wa nishati?? Amekuwa akijifanya mchapakazi sana, asiye na uhusiano na serikali ya JK, huyu kada wa Mafisadi, RA na EL ana mengi mazito.........UV....CCM tumemstukia tunaanza kuyamwaga. Ikiwa Hawatakubali mabadiliko ya Kweli, Tunaelekea CHADEMA
**************************
Mimi ni mjumbe kwenye kamati kuu ya UV-CCM; Mwezi February, niliandika taarifa kuhusu kudorora kwa uhusiano kati ya mkuu wa kaya na katibu mkuu wa chama tawala mzee Yusuf Ma-Ropes, lakini moderator akaja kuliondoa. Kwa sasa taarifa zimeshavuja kwamba Sekretarieti nzima ya Chama Tawala Imejiuzulu na uchaguzi wa viongozi wapya ni hapo kesho.
Hapa nipo Dodoma na mambo siyo mazuri. Wajumbe wa kamati kuu wamekuwa wakimlaumu katibu mkuu kuwa chanzo cha kuchukiwa kwa chama tawala. Ila ukweli wa mambo ni kwamba, mambo ni mazito zaidi ya tunavyoyafikiria. Uhusiano kati ya mkuu wa kaya "Jokabaya Mrishole Kiwete na Mzee wa Mipasho Yufusu Ma-Ropes umedorora kwa kiasi kubwa kweli. Kwanza, Mkuu wa Kaya Jabaya Kiwele, alimlaumu sana Mzee wa Mipasho Y. Ma-Ropes, kuingilia machakato mzima wa kura za maoni ndani ya chama tawala, kwa bahati alifanikiwa kuwaingiza aliowataka pamoja na mwanaye.
Mzee maropes alionekana kuwatoa viongozi waliochaguliwa kihahali na kuwaingiza watu wake. Hii ilikuwa ni dhahiri kule kwa Bashe, na hata kwa mzee Shelukindo, chama tawala kilitumia nguvu ya chama na serikali kuhakikisha mwanaye mzee maropes, Yaani Kijana February Ma-Ropes kutwaa ubunge wa Jimbo la Bumbuvili..Siyo hayo tu, tangu mwanzo, Mzee maropes alishasuka dili na mzee wa kaya kwamba mara tu mwanayee anapoutwaa ubunge, apewe uwaziri.
Hii ilikuwa ni dili iliyokuja kuharibika baada ya Usalama kupata taarifa kutoka kwa wamarekani kwamba mwanaye Ma-ropes alishiriki kwenye mambo ya kighaidi mtandaoni kwa kumtishia binti wa kifamilia moja tajiri sana huko marekani. Kwani hii ilimuwepa pabaya mzee wa kaya, alilijibu swala hilo mwenyewe Baada ya kupokea hizo taarifa. Mkuu wa kaya alibadilika ghafla na kutupilia mbali pendekezo la kumpa uwaziri kijana February, kwani hapo mwanzo huyu kijana pia alikoroga na kumpa kashfa kubwa kwenye mradi wa malaria nomore. Hasira zilimjaa mzee maropes baada ya mwanaye kutoswa, ambaye alilazimika kuingia kwenye siasa za makundi kisirisiri. Mzee maropes aliingia kwenye kundi la wakina RA na EL
Kwa sasa, Mzee maropes, kamsukuma mwanaye pia kwenye kundi la Rosutamu Azize, na Edwardo Lowassana. Kijana February, amejenga bifu na mkuu wa kaya, baba yake naye hivyo hivyo ingawa hawezi kuonyesha kwenye umma kwani ni lazima washirikiane katika maswala ya kikazi. Mzee wa mipasho Y--Ma-Ropes, amepania kuwaacha wanaye kwenye nafasi nyeti. Mpango mzima ni kuwanadi kwenye media kuwa wachapakazi, hasa Mwambao wa Vodacom na February wa Bumbuvili. Lengo ni kumuacha bintiye mkuu wa mkoa, au mbunge viti maalum na kijana waziri. Kwa hiyo ushirikiano wake na RA na EL ni wa kwa manufaa binafsi na familia yake. Hatuwezi kukubali, kwani huyu February, anajaribu kutuvuruga hata sisi UVCCM
Kwa sasa huyu mzee ana bifu za kichinichini na JK kwa maana JK hakumchagua mwanaye kuwa Waziri. Basi hapo, akajiingiza kwenye mtandao wa RA na EL ili mwanaye awepokwenye baraza lijalo. Kwa hiyo tusibirini ni yapi yatajitokeza Dodoma Kesho, nitawahabarisheni zaidi... mara mambo yakizidi kushuka. Hatutaweza kuliongoza Chama ikiwa mabadiliyo tunayaoyataka hayatazingatiwa. Tuko Tayari Kwenda CHADEMA