Mizimu Ndani Ya CCM.....UV-CCM Tuko Tayari Kuwaongoza Vijana Kwenda CHADEMA

<br />

ndugu,uhusiano wa marope na el n ra haujaanza jana wala juzi,una zaidi hata ya muongo mmoja! Binti marope ana miaka minne pale voda...utaweza kuona

ccm haibebeki, ni hali ya sikio la kufa...nyie amueni kabisa kwenda chama mbadala,bado vijana nyie msibweteke na ahadi ya nchi hio ya kusadikika.
<br />

Sasa kama hao vijana wanataka kuhamia CDM kashfa zote walizoizulia CDM wanataka zisahaulike? Wanahama kwa sababu ya watu au kwa sababu itikadi ya chama imechuja? Au ndiyo yale yale ya chitambala?

Ni vema wangejisalimisha kwa wananchi kwa kuwaambia wazi kuwa walikuwa wakala wa upoyoshaji kwa niaba ya itikadi iliyoshindwa. Sawa kwa mawazo yao yakujiengua lakini kama mshabiki wa CDM naona kuna hatari ya kuingiza visusi vya migogoro. Nadhani uongozi wa CDM na hasa BAVICHA watakuwa na orodha kamili ya hawa wapuuzi na kuhakikisha hawahadai mtu; kama wao wameshindwa watokomee. Mwingereza kwani huna shughuli nyingine zaidi ya siasa? CDM kuna kujitolea na kujitosa; sasa nyinyi wenzetu wa chama dola mlikuwa na fursa zote za hazina pamoja na ufahari wake wa kiutawala.
 
Malumbano yamekuwa mengi ila la mhimu hapa sio kuhama ccm,lahimu ni kukaa kiharakati sisi CHADEMA Tuko kihrakati zaidi na sihamini kama nyie mnaotaka kuja huku mtaweza sababu CDM hatuna zengwe hapa kazi ni moja kulikomboa taifa na nyie ccm kazi nimoja kuliangamiza taifa kwahiyo mimi ningeshauri mhamie CUF. SABABU hayo ndo swahiba wenu sisi hatutaki mtuvuruge na hata kama mkija jua kwamba hamna vyeo wala pesa kama mlivyozoeshwa na mafisadi.:love:
 
Marope aende sasa kwa waganga wake wa kienyeji. Mzee mshirikina utazania hana akili nzuri. Hata huyu binti wake wa VODACOM. Mwa,-War pia ni mshirikina kweli kweli. amemtesa sana Mzungu Mr. Brown. Mzungu sasa hivi ametemwa, bosi vodacom na RA ndio wanapeta na ngoma kwa taarifa yenu
 
Kumbe huyu Mhajemi kwenye umalaya pia yumo???????????????

Aaaahhhhhhhhhaaaa, no wonder the strange trio-friendship!!!!!!!!!!!!!!! It isn't all ill-gotten-money based as such but rather far over and above???????????? Ddduuuuhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh!!!!!!!!!!!

Truly like feathers flock together!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

muda mrefu tunafahamu humu kwamaba mhajemi anakula kwa mzee maropes... kale kabinti kake ka Vodafone Mwam-War Maropes si alimtesa sana yule mzee mzungu na hatimaye kumkimbilia mhajemi... mali ni yake sasa
 
tumewachoka maropes
 
Kila mchangiaji anatoa lake hamna anaetoa mjadala juu mada husika, au tumuombe Mods afute hiyo thread! maana ni malumbano na mashambulizi yenye sura ya ubaguzi ndio mnaendeleza hapa.
 
Chama cha serikali ya Ma-COMMED ndo mwisho wake sasa. Jk yote kajitakia kwa sababu ya kuendekeza udini unaopelekea chama kwenda kombo.Alidhani akiweka makada wa imani yake watamsaidia kwa kuwa wanajua mipasho, wa TZ wa sasa na mambo ya mipasho ni tofauti,hawa watu ni watu wa blaa blaa kwa kuwa wanachojua saaana kucheza mabao na upevu wa akili zao katika kuchambua mambo ni mdogo kama elimu zao zilivyo duni.Kwishniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Inaonekana jamaa wana biff zao binafsi mtu mwenye tabia ya kuhama vyama kwasababu ya tofauti za watu personals hana tofauti na malaya asiyeridhika.
 
Inaonekana jamaa wana biff zao binafsi mtu mwenye tabia ya kuhama vyama kwasababu ya tofauti za watu personals hana tofauti na malaya asiyeridhika na mume aliyenaye.
 
Hii ni cdm operesheni sangara nchi nzima, watz tz bila ccm inawezekana. Wananchi wote tanzania nzima tuungane kwa pamoja na cdm katika ukombozi wa taifa hili.
 
Back
Top Bottom