Miziki ya kibongo

Miziki ya kibongo

mbatia mnzava

Member
Joined
Jul 1, 2011
Posts
27
Reaction score
3
Habari zenu wakubwa.Anayejua website za ku dowld nyimbo za kibongo naomba anisaidie!Mchana mwema.
 
Mwizi mkubwa sana wewe, modes wameenda kusali nini. Post kama hii imefikaje hapa? Huyu ni haramia mkubwa wa kazi za wasanii.
 
We wa kusomwa unatufutwa na mods,pili usipende kutoa povu mda wote jaribu kumuelimisha kwanza,mbona miziki ya bongo huwa wana upload kina Dj choka na D7 kwenye web zao na kuna baadhi wanatoa bure kwa promo only,sasa huo wizi umetoka wapi? Utaratibu wa kuuza cngle uku kwetu bado msanii anatoa wimbo anauachia free watu wausikilize waupende waurequest kwenye maredio then mapromota na watangazaji waone kwamba anapata requests zen wafanye nae dili
 
mkuu kama unatumia computer unaweza kudownload IDM downloader,halafu ukifungua blogs kama za dj choka,global publisher ukicheza wimbo click pale kwa IDM utaona inadownload yenyewe
 
Thaaaank yu Excellent hata mimi sikuijua hiyo....!
 
mkuu kama unatumia computer unaweza kudownload IDM downloader,halafu ukifungua blogs kama za dj choka,global publisher ukicheza wimbo click pale kwa IDM utaona inadownload yenyewe

Mkuu unatisha yani kama nanawa vile,nilikua sijui hii kabisa
 
Back
Top Bottom