Jamaa hana chuki binafsi, anasema kile kinachojili ndani ya nchi yetu.. delloite nao matolori tu, watu wanapeana ajira na wakati watu kibao wenye utimamu wapo nchi hii, we kama umeshiba hujui wenye njaaa, ushapata kazi ushasahu ulikotoka, na wengine mnatunisha vifua mbele kwa kazi mlizopewa na wakwe zenu...
lazima tuwaseme, mtu unachoma nauli, unanuna mezania, unatafta fact za kukulinda mwingine anapakaa poda anaenda kujichekesha tu.