Mizengo Pinda apewa tuzo

real G

JF-Expert Member
Feb 7, 2013
5,227
5,292
TUZO : WAZIRI MKUU

Waziri Mkuu mstaafu, Mizengo Pinda amepewa tuzo maalumu aliyotuzwa na wananchi wa Rukwa na Katavi katika mkutano uliofunguliwa na Waziri Mkuu, Kassim Majalwa kwenye ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam jana.
chanzo: mwananchi
 
TUZO : WAZIRI MKUU

Waziri Mkuu mstaafu, Mizengo Pinda amepewa tuzo maalumu aliyotuzwa na wananchi wa Rukwa na Katavi katika mkutano uliofunguliwa na Waziri Mkuu, Kassim Majalwa kwenye ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam jana.
chanzo: mwananchi
Tuzo ya kitu gani? Utumishi bora?
 
Kumbe amepewa na Ndugu zake maana nilitaka kushangaa amepata tuzo kwa kipi alichofanya cha kukumbukwa
Yani hata mimi nilitaka kwenda kukata rufaa mida hii. Nadiriki kusema kama kuna mawaziri wakuu walioshindwa kufanya kazi zao basi na Mizengo mwana wa Kayanda Pinda yumo.

Huyu mzee kila nikimfanyia tathimini nashindwa kuelewa udhaifu wake ni yeye binafsi au mfumo wa ile ya awamu ya IV???

Hebu tujikumbushe pale 60% ya wanafunzi walipofeli mitihani na kashfa hiyo kutinga bungeni. Huyu babu kwa akili zake baada ya malumbano akakurupuka kuunda tume kwenda ku -standardise matokeo ili kuwa-fool wananchi na ikumbukwe Mh. Mbatia aliteuliwa kuwa mmoja wa wajumbe wa ile tume nae kwa busara zake alikataa kushiriki kwenye UPUUZI huo na wale wa NDIYOOOOO wakaenda kufanya walioyafanya na wote tunajua matokeo yake.

Mimi nasema hakustahili hata kuwepo hapo kwenye shughuri achilia mbali alivyokuwa anajidanganya eti CCM wangeweza kumteua kuwa mgombea nafasi ya urais katika uchaguzi uliopita.
 
Kama hata Kamati ya Maadili ya ccm haikuweza kumwonda katika 5 bora, jamani hiyo tuzo kapewa kwa kukosa maadili au?? I wonder
 
Back
Top Bottom