Ni wale vijana wa Nyerere ukiona maisha ya Nyerere hayana tofauti na ya huyu mzee. Ndugu zake wakiumwa wanatibiwa kwenye hospitali zetu hizi hizi. Watoto wake tunapanda nao bodaboda hapa mjini. Mfano mzuri wa kuiga.
Anawasiwasi gani,Huku kaasali,kule kang'ombe,pole ka zabibu,huko kashamba ka mbiga na vimahindi vya kuchoma kuongeza joto mwilini.Ukweli napenda maisha yake niyakawaida saana,hanatofauti na wengine waishio vijjjni-kasoro yeye alikua kiongozi tu.
Hakuna siku aliyonikosha kama alisimama bungeni akasema ukiambiwa usifanye fujo na wewe ukakaidi utapigwa tu maana hakuna namna lazima tukubaliane nchi hii tunaiendesha kwa misingi ya kisheria sasa kama wewe unajifanya wewe ndiyo jeuri zaidi utapigwa tu na mimi nasema wapigeni tu maana tumechoka sasa