Miyeyusho ya mademu wa mjini

nice for her mmmh me nipe hela nivitafute mwenyewe!!!!

Hapo ndipo tunatofautiana,kama unataka kitu ninachoweza kukununulia kwanini usikubali nikanunue nikuletee wataka upewe pesa!!?

Sent from my iPad using JamiiForums mobile app
 

Sio wote........wengine we are not after money

me I just need a person to love me mengine natafuta mwenyewe

kwani kinachoniamsha asubuhi kila siku na kurudi home jioni ni nini!!!!!!

yaani ye akinifanyia vitu vidogo vidogo roho yangu inaridhika tu
 

https://www.jamiiforums.com/mahusia...mjini-lazima-uwavulie-kofia-cheki-na-hii.html
 
Nilishajiwekea msimamo kuwa kamwe sintotafuta pesa kwa lengo la kuhonga na kumfurahisha mwanamke.

mmhh!!! kaka una msimamo ambao siku ukivunjika utakuwa ATM inayotema bila kadi!!
 

Bujibuji!
HAyo ndio madhara ya kuhangaika na wanawake
Wengine tunahaika na Pombe, naam kupombeka tu

Bazazi
​
 
Last edited by a moderator:
Ndo maana I will try to da best of my knowledge to get rich, or I will die trying
 
Bujibuji!
HAyo ndio madhara ya kuhangaika na wanawake
Wengine tunahaika na Pombe, naam kupombeka tu

Bazazi
​

Bia ya kwanza: weita lete bia!
bia ta 2: hivyohivyo
bia ya 3: weita unaitwa nani? mbona umrembo hivi, hebu sogea karibu mpz kwanza agiza na wewe bia

Pombeka tuuuu bujibuji
 
Last edited by a moderator:
Bia ya kwanza: weita lete bia!
bia ta 2: hivyohivyo
bia ya 3: weita unaitwa nani? mbona umrembo hivi, hebu sogea karibu mpz kwanza agiza na wewe bia

Pombeka tuuuu bujibuji
Sista;
Wanawake; Wanaume hawawezi kuishi bila Nanyi
Wanawake; wanaume hawawezi kuishi Nanyi.
​
Ni full mgogoro na mgongano

Bazazi!
​
 
Last edited by a moderator:
mmhh!!! kaka una msimamo ambao siku ukivunjika utakuwa ATM inayotema bila kadi!!

Kwa sasa nina msimamo kwasababu hapo kabla nilikuwa ATM inayotema bila namba ya siri.

Sent from my iPad using JamiiForums mobile app
 
Hahhahahah mbona umetoa ukweli mtupu hapa? Mi huwa najiuliza, je kuna upendo wa kweli bila hela kwa hawa wanawake wa Dar?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…