Kuna madai kuwa UKAWA wamepatiwa fedha, tena nyingi na mfadhili ama wafadhili wa nje ya Tanzania, lakini fedha hizo zinaishia mifukoni mwa kiongozi mmoja ama wawili wa umoja huo, usiosajiliwa na unaoendesha shughuli zake za kisiasa, bila hati zozote za kuuhalalisha kuendesha shughuli za kisiasa.
Yes, only time will tell.Time is the best cure!!
Tuupe tu muda
Hizi ni akili za kibavicha!.yaani mnajadili habari ya upinzani kutoka habari leo iliyoletwa na gamba...
WAKATI viongozi wa kile kinachoitwa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) wanaonesha kushikamana hadharani, habari za ndani ya Umoja huo zinasema kuwa mivutano imeanza kuzuka huku baadhi ya viongozi wake wakitaka kurejea Bunge Maalum la Katiba.
Habari kutoka ndani ya Umoja huo zinasema kuwa angalau viongozi wawili wa vyama vinavyounda UKAWA wanataka kurejea bungeni na kushiriki mchakato wa kutunga Katiba mpya wakati Bunge hilo litakapoanza tena Agosti mwaka huu.
Habari zinasema kuwa viongozi hao wawili, wanataka kurejea tena bungeni kwa sababu wameanza kubaini kuwa kuna ujanja mwingi ndani ya UKAWA na kuwa baadhi ya vyama vinavidanganya na kuvitumia vingine, bila kuonekana kwa faida yoyote dhahiri.
Tulisusa Bunge kwa pamoja, lakini sasa inaanza kuonekana kuwa wapo wenzetu ambao wana maslahi binafsi na kuonekana kututumia sisi kwa manufaa yao ya kisiasa na hata kifedha, anasema mmoja wa viongozi wa UKAWA, ambaye anahisi baadhi ya wenzao wanapata maslahi zaidi kuliko wengine.
Kuna madai kuwa UKAWA wamepatiwa fedha, tena nyingi na mfadhili ama wafadhili wa nje ya Tanzania, lakini fedha hizo zinaishia mifukoni mwa kiongozi mmoja ama wawili wa umoja huo, usiosajiliwa na unaoendesha shughuli zake za kisiasa, bila hati zozote za kuuhalalisha kuendesha shughuli za kisiasa.
Viongozi wa vyama CUF, Chadema, NCCR-Mageuzi na vyama vingine vidogo vidogo walisusa Bunge Maalumu la Katiba mwezi uliopita, wakiazimia kuendesha kampeni ya kutafuta Katiba mpya nje ya Bunge, kupitia mikutano ya hadhara ya wananchi. UKAWA walifanya mkutano wao wa kwanza mjini Zanzibar juzi.
Wakati haya yakitokea ndani ya UKAWA, Rais Kikwete ametoa siku nyingine 60 za nyongeza kwa Bunge Maalum la Katiba ili kukamilisha kazi waliyopewa wabunge wa bunge Maalum la Katiba.
Rais Kikwete alisema, Waliomba nyongeza ya muda nikawapa siku 60, ni matumani ya ngu ndani ya siku hizo watafikia maridhiano na kutuletea Katiba bora, hakutakuwa na muda wa nyongeza, tukiongeza zaidi ya hapo itakuwa ni mwaka mzima tunafanya jambo hilo hilo, alisema Rais Kikwete, ambaye aliongeza siku 60 baada ya bunge hilo kusuasua kutokana na kutawaliwa na malumbano na mabishano, hivyo kushindwa kufikia makubaliano katika masuala kadhaa kabla ya kuanza kujadili Rasimu ya Katiba iliyowasilishwa na Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba.
Rais Kikwete alisema wananchi watachoka kusikia na kuangalia jambo hilo hilo, wakati kuna mambo mengi ya kufanya, hivyo ni vyema wajumbe wa Bunge hilo wakajikita katika kuvumiliana na kufikia maridhiano.
Tukiongeza zaidi ya hapo ni kazi, itakuwa mwaka mzima tunazungumzie jambo moja watu watachoka kuona jambo hilo hilo, tunataka kuona na kufanya mambo mengine, alibainisha.
Alisema iwapo Katiba mpya itashindwa kupatikana kwa kipindi hicho, Katiba ya sasa itaendelea kutumika na mchakato huo utaanza upya mbele ya safari.
Wakishindwa kutupa katiba inayopemndekezwa, itabidi tusitishe mchakato hadi mbeleni, alisema bila kufafanua zaidi.
Chanzo: Habarileo.
UKAWA wanatetea rasimu ya katiba kama ilivyowasilishwa na Mwenyekiti wa Tume. Yale maoni yalikuwa ni ya wananchi hivyo hata mkiwateka wajumbe wote wa UKAWA, mkawapeleka Mabwepande, mkawang'oa meno na kucha bila ganzi au mkawanyamazisha kama mlivyomnyamazisha Dr. Sengodo Mvungi, maoni ya wananchi yako pale pale. MwanaDiwani, naomba nikukumbushe, kuna dhambi hazisameheki!Hizi ni akili za kibavicha!.
Ndugu, kwani wewe kwa sasa umefanya nini?.
Kama hufahamu, hata kuandika tu comment ni kuchangia achilia mbali kugusia mada iliyoko ndani ya thread.
Ndugu, wewe uko hapa pia unajadili UKAWA halafu unaanza kulalamika kama wanaJF wengine ndiyo wanajikita katika mambo ya Katiba.Acheni tujadili bajeti ya 19T. Masuala ya Ukawa na katiba kwasasa hatuyataki maana ninyi mnataka tujadiri mambo ya katiba tu!
Eti kiongozi mmoja amesema...Huu ni uandishi wa kikanjanja usiokua na weledi.Gazeti la Serikali linatumia udaku kama mhimili wake wa kiuandishi?WAKATI viongozi wa kile kinachoitwa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) wanaonesha kushikamana hadharani, habari za ndani ya Umoja huo zinasema kuwa mivutano imeanza kuzuka huku baadhi ya viongozi wake wakitaka kurejea Bunge Maalum la Katiba.
Habari kutoka ndani ya Umoja huo zinasema kuwa angalau viongozi wawili wa vyama vinavyounda UKAWA wanataka kurejea bungeni na kushiriki mchakato wa kutunga Katiba mpya wakati Bunge hilo litakapoanza tena Agosti mwaka huu.
Habari zinasema kuwa viongozi hao wawili, wanataka kurejea tena bungeni kwa sababu wameanza kubaini kuwa kuna ujanja mwingi ndani ya UKAWA na kuwa baadhi ya vyama vinavidanganya na kuvitumia vingine, bila kuonekana kwa faida yoyote dhahiri.
Tulisusa Bunge kwa pamoja, lakini sasa inaanza kuonekana kuwa wapo wenzetu ambao wana maslahi binafsi na kuonekana kututumia sisi kwa manufaa yao ya kisiasa na hata kifedha, anasema mmoja wa viongozi wa UKAWA, ambaye anahisi baadhi ya wenzao wanapata maslahi zaidi kuliko wengine.
Kuna madai kuwa UKAWA wamepatiwa fedha, tena nyingi na mfadhili ama wafadhili wa nje ya Tanzania, lakini fedha hizo zinaishia mifukoni mwa kiongozi mmoja ama wawili wa umoja huo, usiosajiliwa na unaoendesha shughuli zake za kisiasa, bila hati zozote za kuuhalalisha kuendesha shughuli za kisiasa.
Viongozi wa vyama CUF, Chadema, NCCR-Mageuzi na vyama vingine vidogo vidogo walisusa Bunge Maalumu la Katiba mwezi uliopita, wakiazimia kuendesha kampeni ya kutafuta Katiba mpya nje ya Bunge, kupitia mikutano ya hadhara ya wananchi. UKAWA walifanya mkutano wao wa kwanza mjini Zanzibar juzi.
Wakati haya yakitokea ndani ya UKAWA, Rais Kikwete ametoa siku nyingine 60 za nyongeza kwa Bunge Maalum la Katiba ili kukamilisha kazi waliyopewa wabunge wa bunge Maalum la Katiba.
Rais Kikwete alisema, Waliomba nyongeza ya muda nikawapa siku 60, ni matumani ya ngu ndani ya siku hizo watafikia maridhiano na kutuletea Katiba bora, hakutakuwa na muda wa nyongeza, tukiongeza zaidi ya hapo itakuwa ni mwaka mzima tunafanya jambo hilo hilo, alisema Rais Kikwete, ambaye aliongeza siku 60 baada ya bunge hilo kusuasua kutokana na kutawaliwa na malumbano na mabishano, hivyo kushindwa kufikia makubaliano katika masuala kadhaa kabla ya kuanza kujadili Rasimu ya Katiba iliyowasilishwa na Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba.
Rais Kikwete alisema wananchi watachoka kusikia na kuangalia jambo hilo hilo, wakati kuna mambo mengi ya kufanya, hivyo ni vyema wajumbe wa Bunge hilo wakajikita katika kuvumiliana na kufikia maridhiano.
Tukiongeza zaidi ya hapo ni kazi, itakuwa mwaka mzima tunazungumzie jambo moja watu watachoka kuona jambo hilo hilo, tunataka kuona na kufanya mambo mengine, alibainisha.
Alisema iwapo Katiba mpya itashindwa kupatikana kwa kipindi hicho, Katiba ya sasa itaendelea kutumika na mchakato huo utaanza upya mbele ya safari.
Wakishindwa kutupa katiba inayopemndekezwa, itabidi tusitishe mchakato hadi mbeleni, alisema bila kufafanua zaidi.
Chanzo: Habarileo.
Yeah, Kama ilivyo dhambi ya ubaguzi wa fikra, dini, kanda na kabila inayoendelea kuvitafuna baadhi ya vyama kupitia baadhi ya viongozi wake ambao kwa sasa wanajitahidi kukimbia vivuli vyao kwa kuanzisha muungano wanaouita UKAWA.UKAWA wanatetea rasimu ya katiba kama ilivyowasilishwa na Mwenyekiti wa Tume. Yale maoni yalikuwa ni ya wananchi hivyo hata mkiwateka wajumbe wote wa UKAWA, mkawapeleka Mabwepande, mkawang'oa meno na kucha bila ganzi au mkawanyamazisha kama mlivyomnyamazisha Dr. Sengodo Mvungi, maoni ya wananchi yako pale pale. MwanaDiwani, naomba nikukumbushe, kuna dhambi hazisameheki!
Hela wanapewa kwa malengo au wanahongwa tu????!!!
Wanapewa cash au wanawekewa kwenye accounts binafsi???!!!
Kama ni wafadhili na wanaitoa wameridhika na matumizi issue nini??!!!
Kama wanafarakana si ndio mwanzo wa kuwa imara???!!!
Hao waliobaki huko bungeni na aliyekuwa mwenyekiti wa tume wana amani gani???!!!
Tuangalie Taifa kwanza hizi njaa zenu za vyama zinawatoa akili kabisa!!!
CCM wameshaingia hofu kufuatia kasi hii ya umoja wa UKAWA,kinachotokea sasa naamini kinapangwa na viongozi waandamizi wa CCM kujaribu kuisambaratisha UKAWA. Ndio maana utasikia mara hivi mara vile.Huo ni uoga tu. CCM itasambaratika kama ilivyokuwa kwa KANU Kenya au vyama vingine vingi tu vilivyokuwepo toka enzi za Uhuru. "You can foul some peoples for some times but you cant foul all the peoples all the times"
Lukuvi, Asha Bakari, John Komba, Mwigulu Nchemba...the shadow knows best!Yeah, Kama ilivyo dhambi ya ubaguzi wa fikra, dini, kanda na kabila inayoendelea kuvitafuna baadhi ya vyama kupitia baadhi ya viongozi wake ambao kwa sasa wanajitahidi kukimbia vivuli vyao kwa kuanzisha muungano wanaouita UKAWA.
yani duniani kuna maajabu yan hao hao wafadhili wakisupport budget yetu wanaonekana wema au wa maana sana il hao hao wafadhili wakisupport wapinzani wanaonekana wanataka kuvuruga amani ya nchi hiyo ndo inaitwa double standard of the highest order.... we sometimes neeed to be ashamed of our actions
WAKATI viongozi wa kile kinachoitwa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) wanaonesha kushikamana hadharani, habari za ndani ya Umoja huo zinasema kuwa mivutano imeanza kuzuka huku baadhi ya viongozi wake wakitaka kurejea Bunge Maalum la Katiba.
Habari kutoka ndani ya Umoja huo zinasema kuwa angalau viongozi wawili wa vyama vinavyounda UKAWA wanataka kurejea bungeni na kushiriki mchakato wa kutunga Katiba mpya wakati Bunge hilo litakapoanza tena Agosti mwaka huu.
Habari zinasema kuwa viongozi hao wawili, wanataka kurejea tena bungeni kwa sababu wameanza kubaini kuwa kuna ujanja mwingi ndani ya UKAWA na kuwa baadhi ya vyama vinavidanganya na kuvitumia vingine, bila kuonekana kwa faida yoyote dhahiri.
Tulisusa Bunge kwa pamoja, lakini sasa inaanza kuonekana kuwa wapo wenzetu ambao wana maslahi binafsi na kuonekana kututumia sisi kwa manufaa yao ya kisiasa na hata kifedha, anasema mmoja wa viongozi wa UKAWA, ambaye anahisi baadhi ya wenzao wanapata maslahi zaidi kuliko wengine.
Kuna madai kuwa UKAWA wamepatiwa fedha, tena nyingi na mfadhili ama wafadhili wa nje ya Tanzania, lakini fedha hizo zinaishia mifukoni mwa kiongozi mmoja ama wawili wa umoja huo, usiosajiliwa na unaoendesha shughuli zake za kisiasa, bila hati zozote za kuuhalalisha kuendesha shughuli za kisiasa.
Viongozi wa vyama CUF, Chadema, NCCR-Mageuzi na vyama vingine vidogo vidogo walisusa Bunge Maalumu la Katiba mwezi uliopita, wakiazimia kuendesha kampeni ya kutafuta Katiba mpya nje ya Bunge, kupitia mikutano ya hadhara ya wananchi. UKAWA walifanya mkutano wao wa kwanza mjini Zanzibar juzi.
Wakati haya yakitokea ndani ya UKAWA, Rais Kikwete ametoa siku nyingine 60 za nyongeza kwa Bunge Maalum la Katiba ili kukamilisha kazi waliyopewa wabunge wa bunge Maalum la Katiba.
Rais Kikwete alisema, Waliomba nyongeza ya muda nikawapa siku 60, ni matumani ya ngu ndani ya siku hizo watafikia maridhiano na kutuletea Katiba bora, hakutakuwa na muda wa nyongeza, tukiongeza zaidi ya hapo itakuwa ni mwaka mzima tunafanya jambo hilo hilo, alisema Rais Kikwete, ambaye aliongeza siku 60 baada ya bunge hilo kusuasua kutokana na kutawaliwa na malumbano na mabishano, hivyo kushindwa kufikia makubaliano katika masuala kadhaa kabla ya kuanza kujadili Rasimu ya Katiba iliyowasilishwa na Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba.
Rais Kikwete alisema wananchi watachoka kusikia na kuangalia jambo hilo hilo, wakati kuna mambo mengi ya kufanya, hivyo ni vyema wajumbe wa Bunge hilo wakajikita katika kuvumiliana na kufikia maridhiano.
Tukiongeza zaidi ya hapo ni kazi, itakuwa mwaka mzima tunazungumzie jambo moja watu watachoka kuona jambo hilo hilo, tunataka kuona na kufanya mambo mengine, alibainisha.
Alisema iwapo Katiba mpya itashindwa kupatikana kwa kipindi hicho, Katiba ya sasa itaendelea kutumika na mchakato huo utaanza upya mbele ya safari.
Wakishindwa kutupa katiba katika muda tuliowapa, itabidi tusitishe mchakato hadi mbeleni, alisema bila kufafanua zaidi.
Chanzo: Habarileo.
Ndugu, nadhani hata unachokiandika hukielewi achilia mbali mhariri na gazeti unalolitaja.Madhali Chanzo ni JAMBALEO na Mleta mada ni MwanaDiwani ...Hii naichukulia kama propaganda nyingine nyingi za kipuuzi! kama kweli wako serious wataje hao viongozi, wataje hao wafadhili na watueleze hizo fedha zimeingia ktk a/c ipi na kiasi gani...Kamwe siwezi hata siku moja nikasoma gazeti ambalo Mhariri wake ni Le Mutuz!!!
Yeah, Kama ilivyo dhambi ya ubaguzi wa fikra, dini, kanda na kabila inayoendelea kuvitafuna baadhi ya vyama kupitia baadhi ya viongozi wake ambao kwa sasa wanajitahidi kukimbia vivuli vyao kwa kuanzisha muungano wanaouita UKAWA.
MwanaDiwani tumbo lako kubwa linaharibu akili yako.punguza kula na ufanye mazoezi.kafie mbele na umbea wako na habarileo lako.shameful propaganda!