Miundombinu ya kibongo-bongo. Kudaadadeki!

ukiimwagia mchuzi wa swala pori,fisi watakula kuanzia ndizi mpaka matairi.tehehe! tehehe tehehe tehe tehe!
 
Na huyo aliyetoa mkono, haogopi kugeuzwa chapati?
 
huyo kiumbe humo ndani anapata oxygen au carbonmonoxide?kama linatembea....no comment!...:becky:
 
Hii ngoma balaa sidhani kama huu mchomoko unatembea
 
cha ajabu inaweza ikapita ktk ya jiji na isikamatwe wala nini!
 
hapo lazima tukuyu ndo wanakuwaga na mambo ya ajabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…