Mshahara laki 2, lakini unamiliki BB
Z10,pochi ya laki na arobaini,umevaa
kiatu cha $ 120, unaendesha Vitz
halafu bado utaenda kanisani
kuomba Mungu akutendee miujiza
wakati tayari wewe mwenyewe
unatenda!hahahahaha
Mshahara laki 2, lakini unamiliki BB
Z10,pochi ya laki na arobaini,umevaa
kiatu cha $ 120, unaendesha Vitz
halafu bado utaenda kanisani
kuomba Mungu akutendee miujiza
wakati tayari wewe mwenyewe
unatenda!hahahahaha
hivi hujui kuwa wanawake tumekalia uchumi
hayo ndo matunda yake
Kivipi mkuu?Kwa mwanamke inawezekana.
hivi hujui kuwa wanawake tumekalia uchumi
hayo ndo matunda yake
kichefuchefu! uchumi gani umekalia wewe!?????
^^
Kukalia uchumi,,mi naishi kwa tabu kumbe kuna watu wamekalia uchumi?
^^