Embu jaribu Ku Google na hii kitu
"Voyager-1 na Voyager-2" hizi setillite zimerushwa toka mwaka 1977 mpaka mwaka Jana zilikuwa bado zinatuma signals kwenye kituo cha NASA ziko mbali sana toka duniani Voyager-1 iko km 17b na V-2 iko km 14b kutoka duniani yaani zimeisha ondoka kwenye mfumo wa jua na wana estimates nguvu/power ya nuclear inaweza isha kabisa ifikapo 2025.......Embu jaribu kufuatilia miujiza ya hizi setillite mbili uone.
Voyager-1 ndani yake INA "Golden Records" ni disc ambayo INA milio toka tofauti toka duniani
(1.)Kuna za wanayama
(2.)Rais wa USA wa muda huo
(3.)Mtoto analia
>>lengo la hizi sauti ilikuwa ni utambulisho kama huko kwenye space kuna viumbe hai viweze tambua kuwa kuna sehemu kuna viumbe hai pia.
Huyu jamaa nani kampiga picha?