Mitungi ya Gas kwa bei poa.

Ududu

JF-Expert Member
Aug 16, 2013
1,020
556
Nauza mitungi ya Gas ya kg 6 Mihan gas, ipo miwili ikiwa na kila kitu kasoro gas tu.

Bei 50000 kila mmoja, Nipo Kibaha Kongowe.
 
50,000 mkuu nakupatia kila kitu hadi flame yake, wewe ni kujaza gas na kupikia tu.. Nakuletea popote ulipo
 
Ukipata oryx nitafute mwana..
Mtungi wa aina yoyote chukuwa km ukiuhitaji, ukienda sehemu yoyote wanayouza gesi mchanganyiko, unabadilishiwa tu, yaani unaweza kwenda na mtungi wa mihan ukabadilishiwa na kuchukuwa wa oryx
 
Kwetu mkuranga, huku kila kituo wanauza aina moja moja tu na sio mchanganyiko... ukiweza kunibadilishia na kupata oryx ni pm nichukue, ili mradi liwe na sehemu ya kupikia kwa juu.
 
Back
Top Bottom