Mitsubishi Shogun Sport/Challenger mashine ambayo wapenda magari ya off road Tanzania hawajaishtukia

Kama hela ya Kununua vipuri vya Audi ipo thats the best choice ila kama unataka gari isiyokuumiza sana kwenye maintenance ingia kwenye Voltz.
Kuhusu mazda usitie pua humo, hamna gari japo body lake tamu linavutia ila itakutesa!
Asante sana Boss kwa usharuri
 
LAND CRUISER and PATROL maybe na Ranger au TATA .. or kama unajiweza Range rover Discovery..

off road TIP~ 1
 
Watanzania wengi wanaomiliki au kutamani kumiliki gari sio watu wa adventure hasa maeneo ya porini,mashambani au hifadhini kama ukiwa mtu wa masafa hasa huko pembezoni kusiko na lami Toyota hafui dafu...kwa hiyo kama ni mtu wa adventure utatafuta gari imara za offroad....Mitsubishi ana DNA za offroad tangu zama! Pamoja na wenzie kv Suzuki's nk

Advantage ya Toyota ni unafuu wa spea tu na kulala mbele...ila ndio hazidumu + offroad Toyota hajiwezi ni kama scania vs Chinese versions za lorries kv Howo
 
[URLhttps://youtu.be/rxDpwT0o_HM][/URL]
Kwenye comparison hii ya professional reviewers Mitsubishi kamzidi fortuner
 
Daah taa pale kwenye dashboard hua zinawaka waka kama mti wa x-maa vile mzee baba.
 
Kama ni adventure huko ma-porini bora nichukue wrangler kuliko hio shogun.
 
Wachina noma
 
Kama ni adventure huko ma-porini bora nichukue wrangler kuliko hio shogun.
Wrangler mbabe yes lakini mjini hanogi Shogun unakula lami na pori Wrangler ukija town ni kama umo kwenye tractor(land tilling machine)...sio mbaya lakini
 
Wakuu, mwaka huu nina ndoto ya kununua gari, mpaka sasa nina M 8 natarajia nifikishe M 12 by November ili niingie sokoni. Natamani sana gari hizi Tatu, AUDI A-3, MAZDA AXELA au VOLTS.
Naomba ushauri ni gari ipi itanifaa kwa budget hiyo
Chukua VOLTZ mazda mimba kwenye gear box
 
Matajiri wengi naona wanamiliki magari yeny body kubwa..
Vipi nikianza na subaru mkuu hata Nissan extrail
Subaru umehit penyewe ni gari nzuri kwa aina ya barabara zetu bongo na engine performance yake ni outstanding
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…