Mitsubishi Shogun Sport/Challenger mashine ambayo wapenda magari ya off road Tanzania hawajaishtukia

N'yadikwa

JF-Expert Member
Aug 10, 2014
4,857
2,000
Hii mashine ni ya ukweli sana both kwenye off roads na tarmac ni bahati mbaya tu kwamba watanzania wengi tunanunua magari kwa kuigana bila kufanya utafiti wa ubora... Mashine hii kwa utafiti wangu huwezi kuifananisha na Fortuner kwa mfano when it comes to off road trails maana Mitsubishi Shogun/Challenger ina historia ya off road tangu enzi na enzi wakati ule kwenye mashamba ya Mkonge na Chai kule Tanga, Luponde, Ambangulu na kwingineko Mitsubishi hasa Pajero walikuwa ndio wababe wa 4WD wakicheza sambamba na Suzuki.

Kwa mazingira ya barabara zetu nyingi za Tanzania...ambazo haziko tarmacked inafaa sana kuwa na mashine kama hii tofauti na Fortuner ambayo ni off road yes lakini uvumilivu wake I suspect unaweza usiwe sawa na mashine hii.

Briefly hii Shogun inafanana na Fortuner lakini hii iko more oriented kwa barabara mbovu na ina 4WD kali sana kwa mujibu wa review za wana humo online...kwa hiyo nashauri kama wewe ni mpenzi wa off road go for this beast hutajuta....halafu hebu nikutoe wasiwasi hakuna gari isiyotengenezeka siku hizi...zama zimebadilika nilishasema humu mara nyingi...spea unaweza kuzipata wakati wowote kwa online means au mubashara....

moja ya link muhimu za spea OG niliwahi kuwaeleza humu ambamo unaweza kuagiza spea zikakufikia within siku 15 tu ni MEGAZIP(watafute kwa jina hilo) hawa jamaa wana spea za kiwango sana na wanasambaza kwa manufacturers(under licence), retail na kwa jumla....sasa wewe ukitaka gari lolote agiza spea zipo pia makampuni yanayoleta magari kutoka ng'ambo yanasupply spea pia....so ruka agiza gari lolote ulipendalo achana na vishoka wanaodanganya watu humu online ooh eti hilo gari halitengenezeki...nani kasema!!...

Versions zote za hii ndinga ni kali kinyama! icheki hapo kisha uifananishe na Fortuner(ipo hapo kwenye picha juu kabisa) utasema...icheki vizuri ndani na nje uone...hapo kuna toleo la 2018 na la 2005 noma mwana!.... Hata hivyo kwa off road SUVs ambazo ziko juu na ninazozikubali Fortuner na huyu mnyama huwa naona wako juu ingawa ndugu yao Surf huwa namkubali kishingo upande...(MODS TAFADHALI MSIUNGANISHE HII SLEDI TUJADILI HAPA NA WANABODI KUHUSU OFF ROADS)
maxresdefault-17_1280x776.jpg

TELEMMGLPICT000167232226_trans_NvBQzQNjv4BqVAll0dwvgRbwjU5S48b-NqSTyMpAlxQ4XYA2hPh7LKA.jpeg
shogun-1.jpg
shogun-sport-11.jpg
mitsi_2004_shogun_sport.jpg
 
Goldman

JF-Expert Member
Dec 10, 2010
1,821
2,000
Ngojea tukueleweshe kidogo! Iko hivi unaenda kigoma umefika maeneo ya malagarasi hiyo pajero lako linaharibika spare ukiuliza kaliua hakuna ukiuliza uvinza wanakwambja hakuna unauliza tabora mjini na kigoma wanakwambia holla!!! Ok unasema pouwa ukibahatika itabidi spare itoke dar ikufate utaipata in two days kama hamna dar itabidi uache gari lako malagarasi au uli tow hapo upande bus kwenda kigoma usubiri hizo 15 days, huo ndo tunaita upekee usiokuwa na tija. Kingine nikusaidie kama ww ni msafiri angalia sana barabarani gari zilizokufa ni hizo type yako maana spares maeneo ya karibu hakuna, juzi tuu nimeona hummer inaenda congo drc it imebuma wana li tow! Sometimes wengi wape ktk magari tz usijaribu kuwa wa tofauti.
 
heradius12

JF-Expert Member
Apr 1, 2011
11,524

Hii ndyo maana unakuta wasomi wengi wanamiliki vi lava 4 vya zanani sababu wanaogopa riski kama hiz. Mara nyingi naona wafanyabiashara ndyo wanamiliki magar ya hatare. Mfano unakuta mji mmoja hammer ni 1 au 2 tu. Ila gar kaimiliki toka ipo no A na leo inadunda road kama mpya. Spea wanatoa wapi?

Kama huna pesa utabaki kuendeza vi baby walkers tu ambavyo survival chance ukipata ajar ni ndogo sana ukilinganisha na SUV.
 
Nina toyota suv, wala sitegemei kuja kununua lincoln, chevy, ford, mitsubishi etc, na hao wafanyabiashara unaowasema wanamiliki magari ambayo siyo mainstream tz hawawezi zidi asilimia kumi! Pia lets say nina duka kariakoo ninakaa mbezi beach au hata kimara siyo muhimu kuja na landcruiser v8 daily dukani huwa tunatumia baby walker, ni fuel,parking efficient! Hizo gari kubwa suv tunatumia nikiwa na sehemu maalumu ya kwenda! Jamani tusipende kujikweza hapa tuongee fact, zunguka kariakoo yote hesabu hayo magari yako ya kipekee kama utamaliza vidole vyako vyote kwa idadi yake!
 
N'yadikwa

JF-Expert Member
Aug 10, 2014
4,857
2,000
Ngojea tukueleweshe kidogo! Iko hivi unaenda kigoma umefika maeneo ya malagarasi hiyo pajero lako linaharibika spare ukiuliza kaliua hakuna ukiuliza uvinza wanakwambja hakuna unauliza tabora mjini na kigoma wanakwambia holla!!! Ok unasema pouwa ukibahatika itabidi spare itoke dar ikufate utaipata in two days kama hamna dar itabidi uache gari lako malagarasi au uli tow hapo upande bus kwenda kigoma usubiri hizo 15 days, huo ndo tunaita upekee usiokuwa na tija. Kingine nikusaidie kama ww ni msafiri angalia sana barabarani gari zilizokufa ni hizo type yako maana spares maeneo ya karibu hakuna, juzi tuu nimeona hummer inaenda congo drc it imebuma wana li tow! Sometimes wengi wape ktk magari tz usijaribu kuwa wa tofauti.
Huu ndio uoga niliouzungumzia mkuu...na mara nyingi uoga wa aina hii unaendana na ufukara...hizi changamoto ulizozitaja zinaweza kukukumba ukiwa na aina yoyote ya gari...ukiwa na vitara hapo malagalasi spea still utaagiza Dar au Mwanza...kwa wanaoyafahamu magari na ambao magari kwao ni adventure implement wanaelewa nini nasema...wabongo ukishawaambia kitu utaagiza nje basi anakosa ujasiri kabisa...
 
sheremaya

JF-Expert Member
Mar 22, 2015
2,873
2,000
Matajiri wengi naona wanamiliki magari yeny body kubwa..
Vipi nikianza na subaru mkuu hata Nissan extrail
 
N'yadikwa

JF-Expert Member
Aug 10, 2014
4,857
2,000
Matajiri wengi naona wanamiliki magari yeny body kubwa..
Vipi nikianza na subaru mkuu hata Nissan extrail
Extrail au Subaru kwa sie kipato cha kawaida safi tu...ulaji wake wa mafuta uko fair...lakini pia kama umezoea Xtrail au Subaru yenye CC 2000 sidhani kama CC 2500 za Mitsubishi Shogun unaweza kushindwa...Tena hii Shogun ni CC nafuu ukilinganisha na Fortuner ambazo mostly ni 3.0 labda upate fortuner ambayo ni diesel ambayo ni 2.5 maana versions zao za petroli zote zinaanzia CC 2.7 kwenda juu...kwa hiyo hii Mitsubishi Shogun kwa wanaopenda magari ya kupanda juu yasiyo ya kutumbukia ulaji wake wa kiwese uko poa kama unakipato cha kawaida na cha uhakika!
 
RugambwaYT

Verified Member
Jan 11, 2014
1,087
2,000
Ngojea tukueleweshe kidogo! Iko hivi unaenda kigoma umefika maeneo ya malagarasi hiyo pajero lako linaharibika spare ukiuliza kaliua hakuna ukiuliza uvinza wanakwambja hakuna unauliza tabora mjini na kigoma wanakwambia holla!!! Ok unasema pouwa ukibahatika itabidi spare itoke dar ikufate utaipata in two days kama hamna dar itabidi uache gari lako malagarasi au uli tow hapo upande bus kwenda kigoma usubiri hizo 15 days, huo ndo tunaita upekee usiokuwa na tija. Kingine nikusaidie kama ww ni msafiri angalia sana barabarani gari zilizokufa ni hizo type yako maana spares maeneo ya karibu hakuna, juzi tuu nimeona hummer inaenda congo drc it imebuma wana li tow! Sometimes wengi wape ktk magari tz usijaribu kuwa wa tofauti.
Nimependa hii busara kwa kweli. Hata mie sijawahi kuifikiria saana. Ila juzi nimepasua sump ya gearbox ndio nimeelewa.
 
pureView Zeiss

JF-Expert Member
Sep 5, 2016
3,744
2,000
Ngojea tukueleweshe kidogo! Iko hivi unaenda kigoma umefika maeneo ya malagarasi hiyo pajero lako linaharibika spare ukiuliza kaliua hakuna ukiuliza uvinza wanakwambja hakuna unauliza tabora mjini na kigoma wanakwambia holla!!! Ok unasema pouwa ukibahatika itabidi spare itoke dar ikufate utaipata in two days kama hamna dar itabidi uache gari lako malagarasi au uli tow hapo upande bus kwenda kigoma usubiri hizo 15 days, huo ndo tunaita upekee usiokuwa na tija. Kingine nikusaidie kama ww ni msafiri angalia sana barabarani gari zilizokufa ni hizo type yako maana spares maeneo ya karibu hakuna, juzi tuu nimeona hummer inaenda congo drc it imebuma wana li tow! Sometimes wengi wape ktk magari tz usijaribu kuwa wa tofauti.
Point mkuu
 
Bavaria

JF-Expert Member
Jun 14, 2011
47,534

Haijalishi.

Ntalipakia kwenye fuso kulirudisha nyumbani kwangu.

Kukosekana kwa spea haimaanishi wote tutumie Vitz au Spacio.

Being different comes with costs, including the one you said.
 
pureView Zeiss

JF-Expert Member
Sep 5, 2016
3,744
2,000
Haijalishi.

Ntalipakia kwenye fuso kulirudisha nyumbani kwangu.

Kukosekana kwa spea haimaanishi wote tutumie Vitz au Spacio.

Being different comes with costs, including the one you said.
Kila nikiangalia naona hawa wachina watakuja kushika soko la magari hapa TANZANIA kuna haya magari yanaitwa FOTON MOTORS yapo kama land cruisers(shangingi).
Wameanza kwa magari ya serikali kwa makamanda wa mikoa wote wamepewa haya magari.

Kama leo hii ukienda ubungo unakutana na mabasi ya mchina basi kuna miaka inakuja magar ya kijapan yatapotea nchini
images.jpeg
 
Bavaria

JF-Expert Member
Jun 14, 2011
47,534
2,000
Kila nikiangalia naona hawa wachina watakuja kushika soko la magari hapa TANZANIA kuna haya magari yanaitwa FOTON MOTORS yapo kama land cruisers(shangingi).
Wameanza kwa magari ya serikali kwa makamanda wa mikoa wote wamepewa haya magari.

Kama leo hii ukienda ubungo unakutana na mabasi ya mchina basi kuna miaka inakuja magar ya kijapan yatapotea nchini
View attachment 1081093
Kwa Tanzania mchina atawateka sana kwasababu ya kupenda vitu cheap.

Ila binafsi siwezi mshauri mtu anunue gari kama hiyo au hata akipewa bure, airudishe.

Mchina sio reliable, kwa bidhaa wanazoleta Afrika.
 
Boeing 747

JF-Expert Member
Mar 30, 2018
1,857
2,000
Huu ndio uoga niliouzungumzia mkuu...na mara nyingi uoga wa aina hii unaendana na ufukara...hizi changamoto ulizozitaja zinaweza kukukumba ukiwa na aina yoyote ya gari...ukiwa na vitara hapo malagalasi spea still utaagiza Dar au Mwanza...kwa wanaoyafahamu magari na ambao magari kwao ni adventure implement wanaelewa nini nasema...wabongo ukishawaambia kitu utaagiza nje basi anakosa ujasiri kabisa...
Mtu anaagiza gari milioni 18...mtu huyo hyo anashindwa kuagiza spea ya laki mbili ebay....utaahira uliopitiliza...
Hakuna gari baya kama una hela
 
Top Bottom