G.T.L
JF-Expert Member
- Jul 15, 2012
- 773
- 1,247
Asante sana Boss kwa usharuriKama hela ya Kununua vipuri vya Audi ipo thats the best choice ila kama unataka gari isiyokuumiza sana kwenye maintenance ingia kwenye Voltz.
Kuhusu mazda usitie pua humo, hamna gari japo body lake tamu linavutia ila itakutesa!