Wafanyabiashara wengi hawana shule tena hao ndo akiliwameshikiws mmoja wao akinunua kluger au harrier wote wananunua kluger au harrierHii ndyo maana unakuta wasomi wengi wanamiliki vi lava 4 vya zanani sababu wanaogopa riski kama hiz. Mara nyingi naona wafanyabiashara ndyo wanamiliki magar ya hatare. Mfano unakuta mji mmoja hammer ni 1 au 2 tu. Ila gar kaimiliki toka ipo no A na leo inadunda road kama mpya. Spea wanatoa wapi?
Kama huna pesa utabaki kuendeza vi baby walkers tu ambavyo survival chance ukipata ajar ni ndogo sana ukilinganisha na SUV.
Sababu sio u-cheap.Ni umasikini tu ndio unaosababisha watu wamiliki magari ya toyota.
Because they are cheap to run! only that!
Wewe upo tayari mzee. I respect that.Haijalishi.
Ntalipakia kwenye fuso kulirudisha nyumbani kwangu.
Kukosekana kwa spea haimaanishi wote tutumie Vitz au Spacio.
Being different comes with costs, including the one you said.
Oil consumption. Hii kiboko kuliko pilau ya Baba Askofu Mkuu na style yake moja tuVipi kwenye oil consumption?
Tanzania nzima tukitumia Rav4 hakutakuwa na garage za gari za Europe.Wewe upo tayari mzee. I respect that.
Ila hatufanani. Wengine hawapendi kupoteza muda kulipetipeti gari kwa sababu ya kuwa 'unique'.
Kweli.Tanzania nzima tukitumia Rav4 hakutakuwa na garage za gari za Europe.
Huoni Subaru tu zinavyosumbua watu?
Hata mm Mitsubishi SUV zao sizikubali kabisa.Hii gari ndio ilimuua Lisa Lopez (Left Eye) wa TLC wakati anatoka Honduras. Personaly sio fan wa Mitsubishi gari zao za matumizi ya kawaida zimenikalia kushoto hasa SUV zao kama pajero n.k. Tutatumia Fuso na Canter tu naona ndio zipo vizuri.
Zimekaa kiduwanzi flaniHata mm Mitsubishi SUV zao sizikubali kabisa.
Hii gari ndio ilimuua Lisa Lopez (Left Eye) wa TLC wakati anatoka Honduras. Personaly sio fan wa Mitsubishi gari zao za matumizi ya kawaida zimenikalia kushoto hasa SUV zao kama pajero n.k. Tutatumia Fuso na Canter tu naona ndio zipo vizuri.
Sidhani kama ni reliable like Land Cruisers and Nissan PatrolZimekaa kiduwanzi flani
No sio umasikini. Magari ya Toyota ni reliable. Ndio maana Land Cruiser 100 series ya mwaka 2001 au 2002 thamani yake ni kubwa zaidi kulinganisha na Range Rover, Nissan Patrol or Mitsubishi Pajero ya mwaka huo.Ni umasikini tu ndio unaosababisha watu wamiliki magari ya toyota.
Because they are cheap to run! only that!
Uthamani wa kitu unasababishwa na mambo mengi.No sio umasikini. Magari ya Toyota ni reliable. Ndio maana Land Cruiser 100 series ya mwaka 2001 au 2002 thamani yake ni kubwa zaidi kulinganisha na Range Rover, Nissan Patrol or Mitsubishi Pajero ya mwaka huo.
Toyota does not break easily in tough conditions.Uthamani wa kitu unasababishwa na mambo mengi.
Toyota ist kuuzwa bei sawa na nissan xtrail haimaanishi Ist ni bora kuliko xtrail bali vipo vingi vinachangia,
Hiyo land cruiser unayoitaja:-
1. ina mafundi wengi wanaoiweza kuitengeneza, sio complicated ukifananisha na vyuma vingine kama ulivyovitaja
2. spare zipo za kumwaga na bei ni reasonable, unaweza kuinunua kwa bei kubwa lakini ukapata unafuu wa kuimaintain.
Hali hii inapelekea watu wengi kuzinunua na hivyo kupandisha uthaman wake, kumbuka the higher the demand..............
Ukiwa na uwezo wa kumiliki range rover hautotaman kumiliki hizo toyota ndg yangu kinachotushinda ni ugumu wa kumiliki hizo gari(umasikini). Hivi haujiulizi hao wakina maywhether an the like wanaweza kuwa hata na magari 50 lakini usikute hata toyota moja na kama zipo basi ni za kuhesabu, kwani hawazioni?
Kama hela ya Kununua vipuri vya Audi ipo thats the best choice ila kama unataka gari isiyokuumiza sana kwenye maintenance ingia kwenye Voltz.Wakuu, mwaka huu nina ndoto ya kununua gari, mpaka sasa nina M 8 natarajia nifikishe M 12 by November ili niingie sokoni. Natamani sana gari hizi Tatu, AUDI A-3, MAZDA AXELA au VOLTS.
Naomba ushauri ni gari ipi itanifaa kwa budget hiyo
Yeah mkuu, thats the one. Wayback sana