Prof Gamba
JF-Expert Member
- Jun 10, 2011
- 390
- 267
mbona nasikia zinasumbua sana?
Tatizo kujua fundi mzuri
Mkuu,
kama unataka gari fuel economic, iliyo nyanyuka juu, four wheel na imara, fuata hiyo link hapo chini. Hiyo Pajero Jr sikushauri ununue. Ongea kwanza na mafundi kabla hujafanya maamuzi ya kununua gari.
Kama unanunua ulitumie kwa muda kisha uliuze, basi sawa. Ila kama utalitumia kwa muda mrefu likianza kukusumbua utatamani ulitupe.
Pia, kama unanunua gari ukiwa na matarajio ya kuliuza baadae usichukue Manual Transmission. Utapata shida sana kupata mteja. Watu wengi hawawezi kuendesha manual, na pia kwa foleni za dar mguu utauma kwa kukanyaga clutch pedal.
Karibu
Suzuki Escudo GF-TA02W(1998) / 4WD / US$3,790 / 45,000 km / Autorec Enterprise, Ltd - Japanese Used Car [ tradecarview ]
mimi iliwahi kunisumbua sana GDI,ilikuwa kuwaka asubihi unawasha hadi karibu mara 10 na ukiwa barabarani ghafla inazima!!! mara naambiwa pump ya juu mara sijui nini basi vurugu tupu!ila kuna jamaa wapo tabata wakairekebisha wakasema nozle zilikuwa hazipitishi mafuta vizuri hivyo wakazibadili!!since then inapiga mzigo!!Mpaka sasa bado haijaanza kusumbua kwa kiasi hicho, nimewahi kubadilishia Fuel pump na battery tuu, kingine ni service ya oil ya kawaida ambayo nafanya kila zikikaribia km 3000 za kutembea. Ila pajero GDI ya bro mafundi wake wap jangwani sijajua ni garage ipi ambayo yeye kadumu nayo toka 2008 na iko poa. mimi kwenye gari huwa naamini ktk kulitunza na service tuu. kuna wengine wanadai Honda CRV ni mbovu sana, japo kuna watu wanadumu nazo miaka mingi tuu. Gari ni service na matumizi mazuri.
mimi iliwahi kunisumbua sana GDI,ili kuwa kuwaka asubi unawasha hadi karibu mara 10 na ukiwa barabarani ghafla inazima!!! mara naambiwa pump ya juu mara sijui nini basi vurugu tupu!ila kuna jamaa wapo tabata wakairekebisha wakasema nozle zilikuwa hazipitishi mafuta vizuri hivyo wakazibadili!!since then inapiga mzigo!!
mkuu Prof Gamba!!!hicho kichwa chako vipi?!kuna mtoto nasikia alizaliwa bagamoyo miaka hiyo anakichwa kama chako na sasa ndo rahisi wa nchi je ndo wewe kiongozi ha ha ha ha!!
MAKER: MITSUBISHI
MODEL: PAJERO MINI
ENGINE: MITSUBISHI MOTORS CORPORATION.
MODEL: E-H56A MNHF
Ni gari nzuri sana kwa matumizi yasiyotaka pressure ya kuwazia mafuta.
mkuu nipe direction ya ofisi ya hao mafundi wako au kama una namba zao za simu nipeleke gdi yangumimi iliwahi kunisumbua sana GDI,ilikuwa kuwaka asubihi unawasha hadi karibu mara 10 na ukiwa barabarani ghafla inazima!!! mara naambiwa pump ya juu mara sijui nini basi vurugu tupu!ila kuna jamaa wapo tabata wakairekebisha wakasema nozle zilikuwa hazipitishi mafuta vizuri hivyo wakazibadili!!since then inapiga mzigo!!
Jamaa anaitwa Veda 0652338304mkuu nipe direction ya ofisi ya hao mafundi wako au kama una namba zao za simu nipeleke gdi yangu
Shukran mkuuJamaa anaitwa Veda 0652338304
Yes,ukipata fundi mzuri hutojuta kumiliki pajero jr/miniNi kweli, hata mimi yangu iliwahi kuwa na tatizo la kutowaka lakini tatizo ilikuwa ni fuel pump (panzi), mimi kwa kuwa na nguvu naziaminia sana. Inabidi kuwa na mafundi wazuri wanaoziwezea.