mitsubishi pajero io 5 doors for sale

mtoto wa mama

Senior Member
Jan 11, 2011
188
18
Mitsubishi pajero io 5 doors
BKE registration..
Never overhauled
Single owned for 15 months in tanzania., bought from YUASA AUTO IMPLEX last year
Run in excellent condition
Surrounding sound system with CD player., very clean interior
4WD
Price: tsh 11 mil. Negotiatable
Cont. 0657833717
 
Toa sababu za kuliuza tafadhali, nijuavyo mimi mswahili hauzi kitu mpaka kimzingue hapo atatafuta mtu wa kumbambika na kama ni hivyo ushindwe kwa jina la Yesu!
 
Toa sababu za kuliuza tafadhali, nijuavyo mimi mswahili hauzi kitu mpaka kimzingue hapo atatafuta mtu wa kumbambika na kama ni hivyo ushindwe kwa jina la Yesu!
Hii yangu haina tatizo nimeagiza pick up hivyo naiuza hii ili niweze kuitoa gari ikifika na sina gari moja tu.., nice time ndugu time
 
hizi gari ni nzuri kwa kweli.

Ninayo moja huu mwaka wa tatu sasa na hainisumbui hata kidogo.

Ni mojawapo ya gari chache zenye sifa mbili kwa pamoja.

1) Haili mafuta mengi,
But
2) 4WD optional.

System hii labda waweza kuipata kwa Suzuki, terios (cami).
 
Toa sababu za kuliuza tafadhali, nijuavyo mimi mswahili hauzi kitu mpaka kimzingue hapo atatafuta mtu wa kumbambika na kama ni hivyo ushindwe kwa jina la Yesu!

Hayo mawazo ya kitoto sana!
 
Back
Top Bottom