Mitsubishi canter vs toyota dyna

Mitsubishi canter vs toyota dyna

jinalako

Member
Joined
Apr 8, 2011
Posts
56
Reaction score
2
IPI GARI NZURI KWA MAZINGIRA YA TZ
KATI YA MITSUBISHI CANTER NA TOYOTA DYNA?
mchango wako ni muhimu.
 
IPI GARI NZURI KWA MAZINGIRA YA TZ
KATI YA MITSUBISHI CANTER NA TOYOTA DYNA?
mchango wako ni muhimu.


Naomba nikusaidie Mkuu

Katika hizo gari 2, Mitsubishi Canter ndio chuma na sio Dyna. kwa sababu ifuatayo
Canter ya 2Ton inuwezo wa kubeba mzigo wa 5 tons na ikapanda mlima kama haina akili nzuri ila dyna haiwezi. Dyna ya 2 t ukiweka mzigo wa 3 ton haiwezi kupanda mlima. pia canter ya 3 ton inaweza kubeba mzigo wa 8 ton na ikapanda mlima na ikafika bila tatizo. mzee vipi uoni canter zilivyozagaa hapa bongo ni kwa ajili hiyo canter ni chuma ni gari ya kazi ila iwe ya Diesel.
 
ananteni sana wadau. unachosema kisapwi ni kweli kabisa . zimezagaa sana. lazima kuna sababu
 
Nunua mitsubishi. Zivumilia mazingira magumu ya kazi.
 
Kwa mimi nikianbiwa nikuchagulie gari ningekuchagulia canter,lakini itategemea na mkwanja wako unalusuje kupata canter,kwenye dyna tatizo lake kubwa ni breki kwani ukiwa nalo wala haliitaji sifa za kukimbia maana muda wowote mtakufa...
 
Back
Top Bottom