Mitsubishi Canter mbili zinakodishwa!

Mitsubishi Canter mbili zinakodishwa!

rigobert

Senior Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
137
Reaction score
58
Habari wana jamvi.
Naomba msaada wenu kwa yeyote anaefahamu wapi kwa hapa Dar es salaam naweza kupata kampuni inayokodisha haya magari kwa ajili ya shughuli zake.Hizi gari ni tani mbili mbili.Bei ni makubaliano.Natanguliza shukrani.
 
Back
Top Bottom