MITSUBISHI AIRTREK showroom Dar bei gani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MITSUBISHI AIRTREK showroom Dar bei gani?

Discussion in 'Matangazo madogo' started by mimimpole, Dec 7, 2009.

 1. m

  mimimpole Member

  #1
  Dec 7, 2009
  Joined: Dec 7, 2009
  Messages: 22
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 5
  salam wadau,
  natafuta motokaa kwa ajili ya matumizi ya kawaida,kwa bajeti yangu ndogo ya 12M nimefanikiwa kukutana na motokaa hii kwa jina la Mitsubishi Airtrek.kwa wale wataalam wa magari,hii gari inafaa kwa mikiki ya Tanzania?matumizi yake ya mafuta yakoje?!


  MITSUBISHI AIRTREK TURBO R-4WD, petrol, 2000cc,Automatic Transmission.

  kwa wanaouza motokaa zao kama ni SUV/MPV si vibaya wakani-PM.
   
 2. MwanaHaki

  MwanaHaki R I P

  #2
  Dec 7, 2009
  Joined: Oct 17, 2006
  Messages: 2,403
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 145
  Kaka nakujibu kama ifuatavyo!

  1) Magari ya Mitsubishi si rahisi kuya-maintain kama Toyota, Nissan na mengineyo. Engine za Mitsubishi ni fairly complex, ukilinganisha na Toyota au Nissan. Hii inatokana na ukweli kwamba, kihistoria, Mitsubishi ni kampuni ambayo ilikuwa ikitengeneza mashine/magari ya kivita.

  2) Teknolojia ya ukarabati wa magari imebadilika sana kuanzia mwaka 2000, kiasi kwamba, wale mafundi magari wa chini ya mwembe wengi wameondoka kwenye fani hiyo, kwani, siku hizi, bila kisomo cha 'computer', hugusi magari hayo... yanahitaji ufanyie computer diagnostics... uchunguzi kwa njia ya kompyuta, kabla ya kubaini ubovu kwenye gari.

  3) Nasema hivi kwani nimekuwa kondoo wa kafara, nikishuhudia gari yangu ndogo, Mitsubishi Pajero Mini, ikiharibiwa mpaka imenilazimu kununua engine nyingine...!

  4) Ushauri wangu, tafuta Honda, Opel, Volvo, Volkswagen au mwisho, Toyota... European cars will last longer than Japanese cars... na kwa muundo wake, ni imara zaidi. Unaifahamu Opel Vita? A small, unassuming car, lakini bomba ajabu!

  ./Mwana wa Haki

  P.S. FORGET Mitsubishi! I am selling mine, and I dont ever want to see another Mitsubishi AGAIN!
   
 3. MwanaHaki

  MwanaHaki R I P

  #3
  Dec 7, 2009
  Joined: Oct 17, 2006
  Messages: 2,403
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 145
 4. m

  mimimpole Member

  #4
  Dec 7, 2009
  Joined: Dec 7, 2009
  Messages: 22
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 5
  kwani Mitsubishi hawana official service center hapa Tanzania,kwani nipo Dar salamu.kama wanayo sitakuwa na hiyana kufanyia service kwao.Ukiondoa u-complex wa engines zao kuna tatizo lingine walilonalo kama mitsubishi kwa mazingira yetu ya kitanzania?

  hii Opel vita nimeshawahi kuisikia lakini nadhani zitakuwa chache sana Tanzania,sas hali hii haitasababisha uhaba wa vifaa?
  Hapo kwenye Honda,hizi naona zipo nyingi Tanzania,ipi bora?Honda-CRV au toyota Rav4?

  pole sana kwa yaliyokukuta
  NASHUKURU KWA MAJIBU YAKO,YAMENISAIDIA KWENYE KUBORESHA MAAMUZI YANGU.
   
 5. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #5
  Dec 7, 2009
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Dont be biased Mkuu, Japanese engines ni kiboko zikiwa well maintained.(service record na good usage)
  And dont be duped, Japanese vehicles spares are readily available as compared to European vehicle spares, hata fake spares unapata ukipenda.
  I have been using Japanese vehicles for over 20 year and they have NEVER let me down.
  Hata hivyo nakubaliana na the type of Japanese vehicle, no.1 buy is Toyota.
  Hawa spares zao ni interchangeable to a large extent
   
 6. MwanaHaki

  MwanaHaki R I P

  #6
  Dec 8, 2009
  Joined: Oct 17, 2006
  Messages: 2,403
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 145

  Gwakisa,

  After 2000, the level of quality in Toyota cars - non-EU exports - has gone down in quality significantly, compared to EU cars. A Toyota RAV-4 sold in the UK is NOT the same as that sold in Dubai!

  You get the point!
   
 7. m

  mimimpole Member

  #7
  Dec 8, 2009
  Joined: Dec 7, 2009
  Messages: 22
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 5
  Kwa kuwa niko radhi kulifanyia service "by the book"..,kuna tatizo lengine wamiliki wa haya magari ya mitsubishi wanakabiliana nayo?
  mitsubishi ni kampuni kubwa sana Japan sina hofu nayo sana kuhusu ubora wa ENGINE zao,ninahitaji kufahamu wezo wa magari yao katika mazingira ya kitanzania,hasa hili AIRTREK,Super SUV.

  kwani kuna official service center ngapi za mitsubishi Dar es salaam?
   
 8. K

  Kimweri JF-Expert Member

  #8
  Dec 10, 2009
  Joined: Apr 16, 2008
  Messages: 3,998
  Likes Received: 1,083
  Trophy Points: 280
  the quality of Japanese car especially made by such a big and innovative company as Mitsubishi should be okay for normal usage,problem comes down to the type of garages you take your car to.if you take it to under the tree garage,you should expect them to mess with it at least a little.

  my advice just look at the normal suspect parameters,kms,engine size,quality,etc,if they are ok with you then there isnt such a big difference between Japanese makers.

  the rest comes down to taste.
   
 9. m

  mimimpole Member

  #9
  Dec 14, 2009
  Joined: Dec 7, 2009
  Messages: 22
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 5
  nashukuru kwa shule..,sasa hii Airtrek kwa $5000 CIF ni sawa?!pia kati ya mazda tribute,subaru forester na mitsubishi airtrek ipi spea zake zipo za kutosha dar?na kwa bei inayokubalika?
   
 10. K

  Kimweri JF-Expert Member

  #10
  Dec 18, 2009
  Joined: Apr 16, 2008
  Messages: 3,998
  Likes Received: 1,083
  Trophy Points: 280
Loading...