PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 9,084
- 29,843
HahahahaVibration mpaka unahisi kuwashwa....inakuwa kama mtu aliyesafiri na TOYO umbali mrefu....
HahahahaVibration mpaka unahisi kuwashwa....inakuwa kama mtu aliyesafiri na TOYO umbali mrefu....
Ok mkuu nitakagua...Mitsubishi ASX.
Niliiona mara ya kwanza Arusha.
Niliipenda sana.
Jaribu kuicheck na hii.
Tulia Kwenye kitu kimoja Mkuu.Nilikua napenda Crown, Nikapenda Forester 2008-2011 ila sasa hivi nimeamua nijichange upya ninunue Mitsubishi Outlander - Singapore Specs, gari za Japan ukiipata ipo Singapore inakua ina Leather Seats, Sunroof, Speed ni 240km...
Sorry, ukiachilia mbali 240 kph.....hizi features nyingine huwezo kupatakutoka Japani....???Nilikua napenda Crown, Nikapenda Forester 2008-2011 ila sasa hivi nimeamua nijichange upya ninunue Mitsubishi Outlander - Singapore Specs, gari za Japan ukiipata ipo Singapore inakua ina Leather Seats, Sunroof, Speed ni 240km...
Tatizo kwangu ni kimo cha uvungu tu, na haya matuta yetu ya viazi utatamani kuinuka ukiwa unayaruka, maana gari inakwangua chini unatamani ubadili njia
Ni gari chache sana za Japan ziaweza kuwa na hizo features i.e kwenye Crown unakuta zenye leather seats, sunroof, zinaanzia 3000-3500CC yani gari za Japan nyingi hua zipo limited kwenye optionsSorry, ukiachilia mbali 240 kph.....hizi features nyingine huwezo kupatakutoka Japani....???
Poa mkuuTulia Kwenye kitu kimoja Mkuu.
Nakushauri tulia Kwenye Subaru forester 2008 mbona inatosha Sana au kama vipi agiza kutokea huko Singapore utapata features zote ulizotaja
Ni gari chache sana za Japan ziaweza kuwa na hizo features i.e kwenye Crown unakuta zenye leather seats, sunroof, zinaanzia 3000-3500CC yani gari za Japan nyingi hua zipo limited kwenye options
Hata Mimi hii gari imenivutia vp unaweza kuilezea kidogosasa hivi nimeamua nijichange upya ninunue Mitsubishi Outlander - Singapore Specs, gari za Japan ukiipata ipo Singapore inakua ina Leather Seats, Sunroof, Speed ni 240km