Mitsubish Galant Fortis

Mitsubishi ASX.

Niliiona mara ya kwanza Arusha.

Niliipenda sana.

Jaribu kuicheck na hii.
 
Nilikua napenda Crown, Nikapenda Forester 2008-2011 ila sasa hivi nimeamua nijichange upya ninunue Mitsubishi Outlander - Singapore Specs, gari za Japan ukiipata ipo Singapore inakua ina Leather Seats, Sunroof, Speed ni 240km...
 
Tulia Kwenye kitu kimoja Mkuu.
Nakushauri tulia Kwenye Subaru forester 2008 mbona inatosha Sana au kama vipi agiza kutokea huko Singapore utapata features zote ulizotaja
 
Nilikua napenda Crown, Nikapenda Forester 2008-2011 ila sasa hivi nimeamua nijichange upya ninunue Mitsubishi Outlander - Singapore Specs, gari za Japan ukiipata ipo Singapore inakua ina Leather Seats, Sunroof, Speed ni 240km...
Sorry, ukiachilia mbali 240 kph.....hizi features nyingine huwezo kupatakutoka Japani....???
 
Tatizo kwangu ni kimo cha uvungu tu, na haya matuta yetu ya viazi utatamani kuinuka ukiwa unayaruka, maana gari inakwangua chini unatamani ubadili njia
 
Yes..haya matuta kwa kweli ni kikwazo kingine kwenye magari madogo..
Tatizo kwangu ni kimo cha uvungu tu, na haya matuta yetu ya viazi utatamani kuinuka ukiwa unayaruka, maana gari inakwangua chini unatamani ubadili njia
 
Sorry, ukiachilia mbali 240 kph.....hizi features nyingine huwezo kupatakutoka Japani....???
Ni gari chache sana za Japan ziaweza kuwa na hizo features i.e kwenye Crown unakuta zenye leather seats, sunroof, zinaanzia 3000-3500CC yani gari za Japan nyingi hua zipo limited kwenye options
 
Ok thanks.....nitaendelea kulichunguza hili
Ni gari chache sana za Japan ziaweza kuwa na hizo features i.e kwenye Crown unakuta zenye leather seats, sunroof, zinaanzia 3000-3500CC yani gari za Japan nyingi hua zipo limited kwenye options
 
sasa hivi nimeamua nijichange upya ninunue Mitsubishi Outlander - Singapore Specs, gari za Japan ukiipata ipo Singapore inakua ina Leather Seats, Sunroof, Speed ni 240km
Hata Mimi hii gari imenivutia vp unaweza kuilezea kidogo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom