Mitihani ya vyuo vikuu

Mitihani ya vyuo vikuu

Mzalendo_Mkweli

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2012
Posts
2,056
Reaction score
1,303
Habari wana JF,

Siku za nyuma palikuwepo mara kadhaa malalamiko kwamba mitihani ya kidato cha Nne na cha Tano imekuwa ikivuja kabla ya siku ya mtihani.Leo nimekuwa nikitafakari kwa kina na kuanza kujiuliza maswali yafuatayo:-

1. Mbona taarifa za uvujaji wa mitihani ni nadra kuzisikia katika taasisi za elimu ya juu i.e. Universities & colleges?
2. Je ni kweli kwamba mitihani haivuji kabisa katika Universities & colleges?
3. Kama ni kweli mitihani haivuji katika Universities & colleges, Je zile Universities & colleges zenye multiple Campuses e.g
TIA, CBE, TPSCS, nk ambao wanafanya Single paper kwa Campuses zote wanafanya nini kudhibiri uvujaji wa mitihani
(kuanzia utungaji, compilation, production na usafirishaji kwenda kweye Universities & colleges husika)

Naomba tuelimishane katika hili jukwa, "Wataalam wa kesho wanaandaliwa leo na sio kesho"

Nawakilisha
 
Unajua College kama CBE na TIA ni muda mrefu tangia issue ya kuvuja mitihani isikike. Mimi kiukweli nataka kujifunza na pia wengine wajifunze katika kuhakikisha kwamba uvujaji wa mitihani unakuwa historia.
Hakuna kinachozuia isivuje

Kaa karibu na wasichana wenye mahusiano na lecturers wao utapata maswali na majibu.
 
Unajua College kama CBE na TIA ni muda mrefu tangia issue ya kuvuja mitihani isikike. Mimi kiukweli nataka kujifunza na pia wengine wajifunze katika kuhakikisha kwamba uvujaji wa mitihani unakuwa historia.

Nani aliyekuambia mitihani haivuji??
 
Umesoma mpaka wapi? kama umesome elimu ya juu utakua umekwisha elewa ninazungumzia. isotope
 
Last edited by a moderator:
Acha kujitoa ufahamu mkuu

Hata kama ukimjua utamfanya nini kwani?
Kuvujisha mtihani chuo kikuu ni kosa la kumfukuzisha kazi mwalimu wa chuo kikuu.. wewe sema hata idara tu vijana waingie kazini..
 
Umesoma mpaka wapi? kama umesome elimu ya juu utakua umekwisha elewa ninazungumzia. isotope
Hapana mambo mengine ni hisia tu hayana ukweli... watu wakiona kibinti kinamchekea prof wanaanza hisia, ikitokea kikafaulu wanaconclude...
 
Hapana mambo mengine ni hisia tu hayana ukweli... watu wakiona kibinti kinamchekea prof wanaanza hisia, ikitokea kikafaulu wanaconclude...

Nikiwa mwaka wa pili kuna binti alipata maswali lakini hakuwa na uwezo wa kusolve ndio akanitafuta. so najua ninachisimamia
 
Unajua College kama CBE na TIA ni muda mrefu tangia issue ya kuvuja mitihani isikike. Mimi kiukweli nataka kujifunza na pia wengine wajifunze katika kuhakikisha kwamba uvujaji wa mitihani unakuwa historia.

mjema kabana mianya karibu yote
 
inategemea na lecture mwenyewe kama ni mtu wa mademu itavuja kama kauzu hauvuji kabisa
 
Back
Top Bottom