Mitihani ya second year na third year clinical officer

kalachai

Member
Jul 4, 2021
76
110
Mambo zenu wakuu natumain mnaendelea vyema na majukumu yenu ya kila siku ya kulijenga taifa letu ,,,,,

Nilikuwa naomba kama kuna yeyote ambae atakuwa na aya material anisaidie tafadhar ninashida nayo sanaa nahitaji kujipima kama naelewa nachokisoma hasa hasa ya second year
Nitashukuru kama mkinisaidia ndugu zangu

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom