Mitihani ya maisha

Kwahiyo unataka huyo fisadi afadhiliwe aendelee kula pesa za wananchi sijawai kuona mijitu mijinga kama mitanzania jitu kama Hilo limekula pesa za serikali halafu unataka tena lirudishwe kula pesa za serikali
 
aisee kwa vyeo vyote alivyowahi kuwa navyo kuna namna aisee.... kuna namna ambavyo hiyo pesa kaipeleka. nchi hii ukiwa tu mbunge miaka 10 unakuwa class tofauti ya sisi wasaka tonge, sasa ndani ya mwaka mmoja wa kukosa uteuzi kafika hapa?
Unaweza kuta alienda mzima mzima hapa "Kwenye uchaguzi wa 2020 alichukua fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM lakini hakupitishwa".

Watu wanachukua mikopo kununua wanachama wenzao ndani ya chama, kutengeneza team, waandishi wa habari na kadhalika.

Mambo mengi tunakisia tu, ila bado haimake sense kawezaje kurudi chini faster hivyo hata kama hakuwa fisadi bado alikuwa kwenye mazingira mazuri.
 
bila kusahau wajane na vijana walio hitimu vyuo mbalimbali.

Hao mafisadi shenzi sana ni laana tu ya kuibia raia pesa nyingi
 
 
 
Hela imekata? Duuh wanaume tunateseka na kuumbuka sana,ukute hivyo vitu alinunua mwanaume, Mambo yamekaba ,mwanamke ansmuadhiri Jamaa!
 
Hana shida huyo mzee ana watoto Watatu Mmoja Ni Uhamiaji, wawili Usalama wa Taifa tupo nao Zanzibar ananyumba 3
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…