Anaetaka kula vizuri aende mgahawani.Mbona Kuna kina mama wana 40's mpk 60's kupika ni hakuna
Kitunguu Cha roast kinakuwa kama Cha pilau ??
Hajui mchuzi na supu ni ipi ??
Acheni mabinti wa afu mbili a.k.a Binti wa zamani Mama Ndege Mallerina kadogo2
AstaAnaetaka kula vizuri aende mgahawani.
Sio kweli bhna
Hii sasa ni hatariAnaetaka kula vizuri aende mgahawani.
Ninauza nyumba yangu hapa vikindu nyuma ya mtaa wa polisi mwenye uhitaji unipigie 0625784681. Au wasap 0673294681. Ni nyumba ina apartments 2 na vyoo ndani.
Hapo umenena ndugu yangu, hebu watuache😂😂😂Mbona Kuna kina mama wana 40's mpk 60's kupika ni hakuna
Kitunguu Cha roast kinakuwa kama Cha pilau ??
Hajui mchuzi na supu ni ipi ??
Acheni mabinti wa afu mbili a.k.a Binti wa zamani Mama Ndege Mallerina kadogo2
Daktari, nitoe kwenye list ya mabinti wa 2,000Mbona Kuna kina mama wana 40's mpk 60's kupika ni hakuna
Kitunguu Cha roast kinakuwa kama Cha pilau ??
Hajui mchuzi na supu ni ipi ??
Acheni mabinti wa afu mbili a.k.a Binti wa zamani Mama Ndege Mallerina kadogo2
acha urafi nyamwi..😅Ila hawajaungua sana wanalika mbona
Kweli ww Binti wa zamani😂Daktari, nitoe kwenye list ya mabinti wa 2,000
Zingatia kujua kupika vizuri na umri havina mahusiano.
ufu hao wanapenda kijinga kijinga tu kwq siku anaweza kukutumia meseji 10,wana kelele sana usipowapokelea simu zao,
we ni floor ya ngp bibiye 🤔Daktari, nitoe kwenye list ya mabinti wa 2,000
Zingatia kujua kupika vizuri na umri havina mahusiano.