Mitihani ya kidato cha nne ni wiki ijayo

Mitihani ya kidato cha nne ni wiki ijayo

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,459
Reaction score
872,098
Walimu na wasimamizi mnaijua hii mbinu? 1414819455288.jpg
 
Hahahahaaa,umenikumbusha mbali saaaaana asee nimenikuta natabasam tu kuna kipindi kichwa kinapata moto kweli asee ndani ya hiko chumba acha tu mkuu,tunawatakia KILA LA HERI.
 
Haya ni matusi kwa mtu mweusi na ni ubaguzi uliopitiliza...!!walaaniwe wazungu.!
 
Ahahaha hii kitu ilikuwa ikiitwa nyenzo inataka utaalamu kuitumia, sijue siku hizi inaitwaje
 
Niliwahi kusimamia mitihani hii kwa miaka kadhaa si rahisi kitu kama hiki! Utagundulika kirahisi hasa yule anayetazamia! lakini ni chemsha bongo nzuri

They always tries new tactics
 
mi niliandika kwenye sole ya kiatu pale kwenye white strip....and i passed
 
jasho mpaka kwenye maporomoko ya Ziwa Victoria daa aliyebuni mtihani ametuweza kweli aiseee
 
Kilikuwa kinaitwa kibomu enzi hizo sijui Leo hii kinaitwaje
 
Back
Top Bottom