Mitihani ya Hon Dr. Magufuli ninayosahihisha mpaka muda huu

Mitihani ya Hon Dr. Magufuli ninayosahihisha mpaka muda huu

Hoja zako hazina mashiko
Ha ha weka zako zenye mashiko basi. Au unadhan kuwa rais ni sawa na kuwa kiranja mkuu eh. Urais unahitaji kufikiria na kupanga mikakati. Cha kwanza kumbuka aneanza kusafisha serikal. Mwachen apange mikakat yake kwanza
 
Lb
Binafsi nimeanza kumchoka magufuli najutia kura yangu bora ningempa mama wa ACT wazalendo tatizo ukawa walikua na mgombea wa ovyo zaidi
Labda hukusoma tu alama za nyakati mkuu.
 
mahakama ya mafisadi bila kurekebisha katiba,....
hivi hii ni akili,..
katiba inawalinda leo jengo litasaidia nn
0 kabisa hawa jamaaaaaaaa
 
Mitihani ya Magufuli na matokeo mpaka sasa.

1.Uchaguzi wa Meya Ilala na Kinondoni
MATOKEO: 0/88

2.Mkwamo wa kisiasa Zanzibar
MATOKEO: 0/95

3.Bomoa bomoa yenye upofu wa utu.
MATOKEO: 0/90

Tupieni mitihani yake mingine na progress katika usahihishaji

1 & 2 ungempa marks tunge appeal manake hiyo mitihani ilifanyika wakati hajaanza shule, ulisahau wakuingia magogoni ndio katusua wengine wana Supp itakayopigwa 2020 na wameshakubari kurudia. Zanzibar na Umeya ilikuwa ya Diploma ya siasa wakati yeye alikuwa anapiga BSc, waache wafanye sup waliofanya hiyo mitihani yeye yuko chuo kingine.

Bomoa Bomoa ilikuwa mtihani wa number na mwalimu wewe unasahihisha maelezo badala ya formula, yaani square root ya 9 ni 3 wewe unataka maelezo ndio maana umetoa 0 atakukamatia katika senet akiappeal ni case rahisi mno sababu paper ulitunga mwenyewe na majibu yako.
 
Hivi kilichokosekana ni mahakama ya mafisadi au ni sheria za kuwabana mafisiadi?
 
Back
Top Bottom